Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

📌🔨 Nakazia mkuu, ndo maana utendaji wao ni 0 Ila kwa waliotoka PSRS wanatoa huduma nzuri Sana Nina ushahidi wakutosha mkuu
 
huu uzi umebarikiwa hongera sana ndugu yangu, sote tutapata kazi

dbaba hongera pia na wana wotee
sijawasahau kina donvill,marboish electrical wawakumbuke
 
Leo umenipa kitu kikubwa sana
 
Huyu mama amenitoa jalalani, MUNGU amlinde. niliomba sana nipate ajira kwenye utawala wake. sijui ajaye policy na priorities zake zitakuwa ni zipi
Kwa kwel Mwenyezi Mungu aendelee kumuongoza mama Samia, kwa vijana ametufungulia njia, ameturudishia upya matumaini. Tunaiman na raisi wetu mama samia
 
Mtaani ni wa moto.

Nimefanya interview mwezi wa nane ,

Natimiza miezi miwili sasa.

Sijui lini jina langu litatoka.

Nimepambana Mara mbili sikubahatika oral.

Ya tatu nilatusua.

Niliweza kujibu na kufanya kadri.ya uwezo wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…