Mchawi uwe unajua number mkuu ukijua vizuri number unatoboa kama number ni mtiti lazima udiscoHii kozi nilitaka niisome Ila nikaenda Accounting,
Nahisi ningedisco nasikia ni ngumu mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchawi uwe unajua number mkuu ukijua vizuri number unatoboa kama number ni mtiti lazima udiscoHii kozi nilitaka niisome Ila nikaenda Accounting,
Nahisi ningedisco nasikia ni ngumu mno
📌🔨 Nakazia mkuu, ndo maana utendaji wao ni 0 Ila kwa waliotoka PSRS wanatoa huduma nzuri Sana Nina ushahidi wakutosha mkuuUko sahihi wengi hawawezi kushindana, mimi huwa nasema siku zote kuna taasisi kama NSSF watoa huduma wanaleta sana nyodo ni sababu hawa COMPETE hawajui ni jasho kiasi gani linatoka kufaulu written, Practical na Oral, hawajawahi kulala stand wala kupanda Lori kuhudhuria usaili kwa shuhuda za kina mfwende hapa huwezi tarajia mtu alete nyodo na dharau kazini.
Hawa NSSF and the likes wanatakiwa kufika College of informatics waandike mtihani.
Hongera sana mwanangu[emoji28].wakuu lazima tutoe mrejesho hapa
hatimaye nimeangukia halmashauri leo
Nawashukuru ndugu zangu
nawashukuru psrs
huu uzi umebarikiwa hongera sana ndugu yangu, sote tutapata kaziNamshukuru sana mwenyezimungu hatimaye IT leo kaposti pdf yenye jina langu. ( nimelamba asali).
Nawashukuru wataalamu wangu wote kwa sapoti yenu.
Kauli mbiu ni ileile tusikate tamaa bila shaka wadau wa huu uzi wote tutapata placement kwa idhini ya muumba.
Mwenyezimungu Awaongozeni, awabariki na azifurahishe nyoyo zenu.
Usikate tamaa Mungu atakuonekaniaDah hongereni wakuu wengine course zetu mwaka unapita inatangazwa nafasi moja tu utumishi course zetu zipo kwenye hizo taasisi zinazoajiri zenyewe ni changamoto sana aiseee
IT kanituma nikupe ulinzi wa kuenda dodoma bhana😃😃😃.huu uzi umebarikiwa hongera sana ndugu yangu, sote tutapata kazi
dbaba hongera pia na wana wotee
sijawasahau kina donvill,marboish electrical wawakumbuke
Leo umenipa kitu kikubwa sana-
- kwenye oral unatakiwa ujiamini
- uwe na angalau knowledge ya maswali unayoulizwa(usiende opposite kabisa na swali), mfano unaweza kuulizwa Utaje components za Financial Statement, anza kwanza kutoka definition ya hicho Kitu (financial statements) halafu uje kwenye components kutoa definition Kuna maksi zake
Mkuu time will tell, Ipo siku Mungu atatenda Amin Ilo.Mwenyezi Mungu naomba nisaidie na mimi nivuke kama uliwavusha wenzangu waliovumilia hakika na mimi
Utaniona nimesota kitaa kwakweli. Miaka mingiii🥹🙌🏼
Huyu mama amenitoa jalalani, MUNGU amlinde. niliomba sana nipate ajira kwenye utawala wake. sijui ajaye policy na priorities zake zitakuwa ni zipiMama Samia Mungu ampe maisha marefu
Kwa kwel Mwenyezi Mungu aendelee kumuongoza mama Samia, kwa vijana ametufungulia njia, ameturudishia upya matumaini. Tunaiman na raisi wetu mama samiaHuyu mama amenitoa jalalani, MUNGU amlinde. niliomba sana nipate ajira kwenye utawala wake. sijui ajaye policy na priorities zake zitakuwa ni zipi
Muda utafika usiache kujichanganya na wapambanaji wa humu. Kuna muda utahisi kukata tamaa lkn ukija humu nguvu inarudi chap unakua mpya hadi kitaeleweka.Mwenyezi Mungu naomba nisaidie na mimi nivuke kama uliwavusha wenzangu waliovumilia hakika na mimi
Utaniona nimesota kitaa kwakweli. Miaka mingiii🥹🙌🏼
Ahsante afsa, utapata mkuu.Aisee sikuwa online kwa wiki kadhaa, ila hongereni nyote mliolamba asali
mfwende sawadogo
Stelingi
Na wengineo.
Sisi bado tunasubiri muda wetu ufike.
HahaaaHongera sana mwanangu[emoji28].
Nimefurahi sana..
Ukawe mtumishi mwema mwanangu.
Usiache kupita pita kwenye jukwaa letu kule la Nafasi za jeshi la polisi kutupa lonja mwanangu..[emoji28]
Shukrani mkuu🤝Muda utafika usiache kujichanganya na wapambanaji wa humu. Kuna muda utahisi kukata tamaa lkn ukija humu nguvu inarudi chap unakua mpya hadi kitaeleweka.
Mkuu time will tell, Ipo siku Mungu atatenda Amin Ilo