Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Watu walio ttend usahili ni 31,500 ulitaka watoe majibu haraka mseme hawajasahihisha Mkuu we subiria tuu lolilopangwa kwako litatimia tuu.

TRA wametangaza tangazo ndani ya 3 months interview tayari. Huko kwingine mpaka written ni miezi si chini ya 10 hadi 11, na then placement ndo mpaka tupo kwenye huu uzi.
 
Sawa ndo mwezi mzima?
 
Shuhuda siku hizi zinaenda kinyonge sana, mimi jukumu langu la kutoa pongezi, rate ya kutendewa haki inafifia kila uchao.

Any way, kuna class mate wangu wa Sec na Chuo kalamba Asali leo, Hongera sana kwake.

Mnaoendelea kupambana msikate tamaa, huu moto wa kumshtua IT (zamani tulimuita mzee wa Flash maana alikuwa anatupia PDF usiku mnene jambo ambalo lilionesha anatembea na Flash hadi home[emoji23][emoji23]) kwa kumkaribisha, chapati, supu, wali mbogamboga(enzi za chuo tulikuwa tunakula kwa buku wali mbogamboga) naona IT kaingia kwenye huu mfumo, amebaki kufurahisha tu. Moto uendelee hivi hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…