Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu walio ttend usahili ni 31,500 ulitaka watoe majibu haraka mseme hawajasahihisha Mkuu we subiria tuu lolilopangwa kwako litatimia tuu.Taasisi kuajiri wenyewe ni Failure.
Mfano TRA wameng’ang’ania kuajiri wenyewe ila kusahisha tu mitihani phase one imewachukua mwezi mzima wakati sekretarieti saizi watu wangekua wanasubiri placement.
TRA hivi mnavyochelewesha ndo mnatengeneza mianya ya rushwa na kuchomekana. Mnasubiri nini hadi leo hamjatoa majibu? Ili watu waende oral. Hamkujipanga. It’s either mnasahisha sana, mnapanga safu zenu au PSRS walikua hawasahishi. Lipi ni jibu ila utaratibu huu watoto wa wakulima jua litawaka aisee maana [emoji1373]
Sawa ndo mwezi mzima?Watu walio ttend usahili ni 31,500 ulitaka watoe majibu haraka mseme hawajasahihisha Mkuu we subiria tuu lolilopangwa kwako litatimia tuu.
TRA wametangaza tangazo ndani ya 3 months interview tayari. Huko kwingine mpaka written ni miezi si chini ya 10 hadi 11, na then placement ndo mpaka tupo kwenye huu uzi.
Kwangu bado 0_0[emoji17]
mkuu mm nimepiga agro economics[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], mfwende sawadogo tunataka maelekezo hapa , tunataka tuingie SUA aisee
baadhi ya wadau walidai chuoni kuna maokoto ya consultancies na viposho posho kadhaa.Ina maana humu hakuna watumishi wa vyuoni? Nimeuliza swali langu muda mrefu sijapata jibu. Je chuoni kuna maokoto nje ya salary?
Wengine tumekua kama ukoko maji yanapita tumegandaa tu noma sanaaIT safisha database,
KATIBU HANA BAYA!!
Mungu ni wetu sote, na sisi tutalamba asali mda si mrefu.Wengine tumekua kama ukoko maji yanapita tumegandaa tu noma sanaa
KATIBU HANA BAYA!!Hii PDF leo imeshiba aisee, hawa wa leo weng wameramba asali... hongeren sana mliopata kazi