Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hongera sana kwake mkuu, shuhuda zinatupa nguvu sana tulioko kwenye foleni, shuhuda zinatupa zaidi ujasiri wa kuendelea kusubiria placement, hahaaa😂😂😂 IT ni Mtu wetu sana hajawahi kutuangusha
 
Yupo vinzuri...naona anasafisha database
Hongereni mliolamba asali mkawe Watumishi wema
KATIBU HANA BAYA Amefungulia koki... IT hapo ni kupakia majina tu ndani Tank
 
Habarini Wandugu
Mimi ni mgeni humu ila nimevutiwa sana na huu Uzi maana unawaandaa wengi kuanzia kwenye written Hadi kusubiri placement, kama mtafuta fursa Naomba mnipokee tujumuike pamoja wakati tukiwa tunasubiri ugali kupitia PSRS. Kwa ambao tayari mmetokea kwenye mikeka hongereni sana na mkatuwakilishe Vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…