Shuhuda siku hizi zinaenda kinyonge sana, mimi jukumu langu la kutoa pongezi, rate ya kutendewa haki inafifia kila uchao.
Any way, kuna class mate wangu wa Sec na Chuo kalamba Asali leo, Hongera sana kwake.
Mnaoendelea kupambana msikate tamaa, huu moto wa kumshtua IT (zamani tulimuita mzee wa Flash maana alikuwa anatupia PDF usiku mnene jambo ambalo lilionesha anatembea na Flash hadi home[emoji23][emoji23]) kwa kumkaribisha, chapati, supu, wali mbogamboga(enzi za chuo tulikuwa tunakuka kwa buku wali mbogamboga) naona IT kaingia kwenye huu mfumo, amebaki kufurahisha tu. Moto uendelee hivi hivi