Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
TRA oral wameitwa watu 24, na wanahitaji watu 6Yaani Aje atujibu kwanza hiyo oral TRa wameitwa wangapi isije kuwa buku 2 halfu wanahitaji 50..
Sasa hapo unamsahuri aende wapi
Hiyo Ratio nzuriiiTRA oral wameitwa watu 24, na wanahitaji watu 6
NENDA TRA KWA HIYO IDADI MKUU ACHANA NA MDA &LGATRA oral wameitwa watu 24, na wanahitaji watu 6
Wameaza lakinikuna pdf uko
jiajiri mkuu mbona mtaani kuku wengi wamezagaa..Mm nmepiga interview wa nane ila taasisi langu linaboa kinyama kuita kazini
Mm nmepiga interview wa nane ila taasisi langu linaboa kinyama kuita kazini
Mm katikati mwezi wa nane.Angalia PDF ilo la waliofanya 31/8/2023
Sawa, Wakati wako utafika na hauko mbali Mkuu.Mm katikati mwezi wa nane.
Taasisi yangu bado ila niliofanya nao wengine tayari
Ameni! Mwenyezi Mungu atawwajalia. Mshichoke kujaribu. Nilifanya interview mara ya kwanza 2015, nilipokosa nikaachananazo tena kazi za serikali, mwaka huu nikarudi kujaribu since 2015 na nikapata. Mungu mwema sanautuombee.
Ameni. Asante sana. kila la kheri kwakoHongera Sana ukawe mtumishi mwema. Mungu akuongoze vyema.
Ngoja nasi tuendelee kumsikilizia IT huenda Leo usiku ngoma nzito ikaachiwa
Salute kwako mkuu,
Mwenye macho na apate kusoma hii post, yaan binafsi pia haiingii akilin kabisa.
Ameni! Asante sana. Kila la kheri kwakoHongera sana kipenz...mwaka wa kukutana na jina langu (winifrida A julius ) kweny pdf nahc ntalisoma kwa marudio usiku mazima..... Mungu akufanyie wepesi katika safar yako mpya.
NENDA TRA KWA HIYO IDADI MKUU ACHANA NA MDA &LGA