Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

TRENDS YA PSRS.

Walitoa mkeka tar 29/8

Hawakutoa tena hadi tr 26/9/2023

Wanaanza kumwaga Tar 5,6,13,13,14,19 mwezi wa 10..

So kiukweli hakuna stress kama kusubiri mkeka wa UTUMISHI
 
Salute kwako mkuu,

Mwenye macho na apate kusoma hii post, yaan binafsi pia haiingii akilin kabisa.

Hahahahaha! Asante kamanda. Sote tunachofanya ni sahihi. Lengo letu ni kuhakikisha jamaa anapata hoja za pande zote mbili ili akifanya maamuzi kusiwe na upande hajausikiliza.
 
Back
Top Bottom