Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sorry ila kazi ya mkataba hawaweki kwenye Database.
Mkataba wanaweka database kwa kazi za mikataba, kama hiyo Cereal and other produce Board (CPB) zilikua ni kazi za Mkataba. Kwa mfano nafasi za Marketing Officer walihitajika 12 ila Mpaka sasa jumlisha 3 za jana washafika watu 16 walioitwa. Oral Tulikua watu 38.
LAKINI PIA FUATILIA KAZI ZA WCF ZILIKUA ZA MKATABA ILA JUZI KATI HAPO PDF ILIKUA NA WCF VIP HAPO UNASEMAJE??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…