Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ina maana hakuna maushuhuda kwenye zile pdf zote za jana, wadau?![emoji2374]

[mention]Sekretarieti ya Ajira [/mention] tunawaomba muendelee kutuletea pdf za kuitwa kazini kwa wingi. Kama mnavofanya hizo za kazi. Vijana wamepoa sana aisee. Mkeke hata uwe mzito kidogo tunaomba.
 
Kutoka B1 mpaka B6 inachukua muda gani mkuu
B1 hadi B2 ni mwaka mmoja kwahiyo kila step ni mwaka mmoja. Hiyo inaitwa Annual Increment. Inakuwa 2% ya basic salary. Kwahiyo mwenye mshahara mkubwa atapata ongezeko kubwa na wenye mshahara mkia wa mbuzi kama huo uliotaja ongezeko lake ni elfu nane hadi tisa hapo kwa mwaka.
 
Sawa
 
Kwema humu,naomben ushauri kwenye hili..
Mim nimesoma bcom account ila nataka vyeti vyangu vya graduate nivitoe kwnye account yangu ya ajira portal nibakishe Cha O-level tu then niweke vyeti vya driving ili zikija kazi za driving niweze kuapply maana hku kwnye uhasib dah nistress tu kila cku placement zinatoka alaf jina hulioni sas nataka nibadili fani nijikite kwnye udereva...sas nauliza inawezekana nikatoa vyeti vya graduate niweke hv vya driving ili zikija post za udereva niombe?
 
IT MTU WETU,
JANA TUMEFURAFI NA 5,
LEO TUFURAHI NA PDF,
KATIBU HANA BAYA!!
 
kutoa vyeti haiwezekani hapo cha msingi wapigie simu waulize watakupa maelekezo
 
hauwezi kuvitoa vyeti Mkuu mpaka uandike Barua kwa Katibu Utumishi akiona sababu yako ina mashiko ndio wata delete. Otherwise Dereva naona wana ajiri kwa wingi Halmashauri ambapo hutumi maombi Via Utumishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…