Night Watch
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 2,092
- 2,126
Binafsi Kuna watu wa 3 hapa Halmashauri yetu wamelamba Tena asali ya TRA.
Hapa Halmashauri yetu walienda watu 6 kwenye oral interview.
Na written walikuwa kama 10..!!
Wote Hawa wanatoka halmashauri yetu moja tu, sasa hebu fanya mahesabu ya TZ nzima??
#YNWA
Haina ukweli hiiWatu washaitwa kazini na oral imefanyika week ilopita duuh.
Wamepata, wanasubiri mchakato wa barua za uhamisho.Wameitwa lini kazini ili hali usaili wa oral toka ufanyike leo ni siku ya 6, na kwenye website ya TRA hakuna tangazo la watu kuitwa kazini mpaka sasa.
Bado tuko nao ila taarifa chini ya kapeti zinasema WAMEPATA.Watu washaitwa kazini na oral imefanyika week ilopita duuh.
Polee sanaaa.Haina ukweli hii
Matokea kwenye mtandao hayapo.duuh kumbe TRA walishatoa matokeo..
......Wapo facebook, X, instgram, Wapo kila sehemu.Wana page insta?
#YNWA
Huu ulimwengu bana mambo ni mengi sana unaweza ukachanganyikiwa ukisikiliza rumours za watu, usaili wa mwisho umefanyika J5 , usaili ulikuwa na idadi kubwa sana ya wasailiwa mfano tax management officer II oral ni 847, leo hii hata wiki haijaisha una ambiwa watu wameshaitwa kazini, any way sisi hatujui bana ila jambo la msingi ni kusubiria taarifa toka chanzo rasmi ambacho ni website ya TRA tu, amabako hayo majina lazima yatawekwa huko kwa kuwa toka mwanzo wa mchakato kila kitu kilikuwa kinapatikana huko, hata hao unaosema kuwa wamepata yawezekana ni story tu wanazungumza zisizokuwa na uhakika.mmmh Inawezekana ikawa kweli lkn interview watu wa mwisho wamefanyw jumatano yan ndan ya siku 4 tu majibu yawe tayar daah
Hapa ndy nakosaga Nguvu watu tunasubiria matokeo nyie mna taarifa za watu kuitwa kaziniBinafsi Kuna watu wa 3 hapa Halmashauri yetu wamelamba Tena asali ya TRA.
Hapa Halmashauri yetu walienda watu 6 kwenye oral interview.
Na written walikuwa kama 10..!!
Wote Hawa wanatoka halmashauri yetu moja tu, sasa hebu fanya mahesabu ya TZ nzima??
#YNWA
Bado tuko nao ila taarifa chini ya kapeti zinasema WAMEPATA.
Kama mmoja kaenda likizo ya mitihani ya CPA kasema yeye si wa Halmashauri Tena, anarudi na barua.
Kajuaje, SIJUII..!!
#YNWA
Mzee wakati wewe unahangaika kutafuta mlo wa kila siku, Kuna wenzako wanaletewa kila kitu mezani.Hiyo kajuaje, SIJUI inanichekesha kweli yani
Pole, wenye nacho HUONGEZEWA.mmmh Inawezekana ikawa kweli lkn interview watu wa mwisho wamefanyw jumatano yan ndan ya siku 4 tu majibu yawe tayar daah
Hapa ndy nakosaga Nguvu watu tunasubiria matokeo nyie mna taarifa za watu kuitwa kazini
Hakuna aliyeitwa kazini.Wameitwa lini kazini ili hali usaili wa oral toka ufanyike leo ni siku ya 6, na kwenye website ya TRA hakuna tangazo la watu kuitwa kazini mpaka sasa.
Hakuna aliyeitwa kazini ila mbichi na mbivu zao WASHAZIJUA.Watu washaitwa kazini na oral imefanyika week ilopita duuh.
Hilo ndilo sahihi, Huku Ukimuomba Mungu.Tunaendelea kukaza moyo na ajira portal