Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sasa mnakimbia halmashauri nani anafanya kazi huko aisee ninyi watu ?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Mnazingua sana aisee ,
Kumbe ndio maana kuna taasisi haziajiri kabisa graduates aisee ,kumbe majitu yanakaba nafasi huko kwa kuzikimbia halmashauri
Kuna taasisi watu wanafanya usahili kama Geresha halafu hata majina yenyewe hayatoki ,ujinga sana huu
 

Miaka mitatu unatafuta uhamisho? Changamoto hasa ni nini? Yani umekwama wapi, unapotoka au unapoenda au utumishi.
 
Nilikuwa najiuliza muda mrefu mbona Taasisi kama TANESCO huwezi sikia ajira hata siku moja iwe kupitia utumishi au kwa wao wenyewe ?
Kumbe njemba zinakimbia toka Halmashauri kuingia huko

Taasisi nyingi wana shortage ya watu na hawapati vibali vya kuajiri hivyo wanatumia option ya interministerial transfer from MDAs.
 
Wewe si uje halmashauri halafu sisi tuondoke.
Na watu wanakimbia hasaaa.

#YNWA
 
Miaka mitatu unatafuta uhamisho? Changamoto hasa ni nini? Yani umekwama wapi, unapotoka au unapoenda au utumishi.
Kupata post TAASISI ndio shida..

1. Sitaki kuhamia halmashauri yoyote nataka TAASISI.
2. Taasisi zenyewe hakuna nimjuae hivyo natumia njia hizi hizi za kusaka kwa internet, nikiona tangazo na apply.
3. Kuna jamaa angu mmoja (HR) aliniambiaga, changamoto nina Masters tena ya finance, hivyo raia wengi wanaogopa ile wakikupa post unahatarisha nafasi zao za mtonyo.
4. Mwengine alisema, niende Utumishi nikatoe Mil 1 ili nipewe barua ya kuhamia TAASISI Direct bila longolongo. Ila changamoto unakuja ""Ukienda kichwa kichwa lazima upigwe""

#YNWA
 
Hakuna aliyeitwa kazini ila mbichi na mbivu zao WASHAZIJUA.
Unasubiriwa wakati kila kitu kiwekwe wazi.
Ila usikate tamaa, kwenye maisha HATUFANANI.

#YNWA
MOJA YA KITU KIWEKWE WAZI, WAULIZWE TRA...ILIKUWAJE KULIKUWA NA MUDA MWINGI WATU WA ICT TECHNICIAN KUPEWA RATIBA YA PRACTICAL...YANI RATIBA YA PRACTICAL WATU WAMEPIGIWA SIMU J.MOSI TAREHE 28... THN TAREHE 29 WAWE DAR KUFANYA MTIHANI...MIMI NILIKUWA SOMGWE NIKASHINDWA KWENDA...CZ NATOKEJE J.MOSI TENA SIMU NIMEPIGIWA SAA SABA MCHANA. NINA RECORD YA CALL NA HADI SCREENSHOOT YA MESSAGE 😢
 
Pole sana mkuu, ila hii ndio imeisha hivyo.
 
Lkn matokeo ya Written si yalitoka trh 21 September au yalitoka hiyo trh 28 September? Naomba Kujua ili nielewe Lawama nazipeleka kwako au kwa TRA.
 
Wewe Songwe si ilipaswa ufanye interview Mbeya?

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…