El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
hio ikitokea mara moja hua inajirudia baada ya miaka minneinategemea mkuu kuna watu hata miezi miwili hawamalizi wanapata placement
hela zote zinaishia kwenye bando..Aisee kusubiri placement ni ngumu kuliko kusubiri vingine vyote vya awali
Tatizo wanaleta siasa sana kwenye maisha ya vijana.....kwakweli sisi tuliofanya oral juzi hapa naona tuanze kudai placement mwakani mwez wa 3
Unaongea kama nani?
Asante Professor. Hakika umeyatendea haki malalamiko ya uzi huu.
Hivi kwa mfano PSRS wakawa wanatoa placements kisha wakaacha muajiriwa na taasisi yake waelewane siku ya kuripoti kazini, nini kitaharibika?
Kwa mtazamo wangu, hoja kubwa ya watu sio ni lini wataripoti kazini, bali ni je wamepata kazi au hawajapata! Ni bora mtu ajue ameshapata kazi, kisha taasisi aliyopata imtaarifu asubiri hata mwaka mzima, kuliko PSRS kukaa na majibu mwaka mzima halafu wanakuja kumwambia amekosa.
Kama hutojali, kwa niaba ya wengine naomba utusaidie kuweka hapa hilo “bonge moja la sheet” ili tuongeze maarifa zaidi na kupunguza kuuliza ambacho kimeshajibiwa.
Asante pia kwa lonja ya placements zinazokuja.
Kunachowafanya PSPR wasifurukute ni kanuni na taratibu zilizowekwa kipindi cha kuanzisha hii department kwahyo hakuna wa kwenda against ili watu waajiriwe kwa wakati (hakuna alieshiba atakupambania wewe mwenye njaa ushibe)labda itokee taratibu,sera na kanuni zibadilishwe..malalamiko yetu ndio yatawafanya wayajue mapungufu yooote yaliowazunguka na kuanza kuyafanyia kazi kwahyo tuendelee kupiga mayowe ili wajue wapi panashida ili patatuliwe...changamoto ipo kwenye mifumo ya serikali wala si TAASISI ZINAZOTAKA WAAJILIWA AU PSPR
Kwann nasema ivo?
PSPR wanaendesha mchakato wao kwa muda Waliopanga depending na Idadi ya watu then wakimaliza wanarudisha taarifa kwa government kuwa idadi inayohitajika imepatikana au LA! Then sasa final say ni GAVAMENT kutoa go ahead kwamba fyatua mkeka watu wakale keki ya nchi (asali) au la! So PSPR awezi akafyatua mkeka akapata confirmation kutoka GAVA...kwahyo mpka muda huu IT wa PSPR anajua ni Nani anaenda wapi na Nani anabaki wapi but thing that I want to say is....miscommunication Kati ya TAASISI,GOVERNMENT na PSPR ndyo inayowaumiza JOB FINDERS so kipi kifanyike?
By my opinion: mchakato wa ajira baada ya deadline uchukue mwezi mmoja ili watu waandae nauli then after usaili wachukue tena mwezi 1 ili watu wajiandae kupata nauli za kufata barua then zitolewe week 3 mtu kufika kwa mwajili wake so mchakato mzima huu uchukue 3month hii nazani itakua balanced sanaaaa
najua watu wanatamani hata baada ya dead line next week. Iwe intavoo then following after next week iwe placement ila tuanze tu na 3 month hapa tutaokoa muda na kupunguza jamu kwenye majukwaa kama haya na kwenye website zao...
Mpka sasa nusu ya wahitimu wa vyuoinaitazama PSPR kama mama na baba Yao na PSPR isipookua makini kuipelekea napendekezo serikali basi itapoteza hata sifa zake zilizopo tayari WALIZOJIWEKEA
YANGU NI HAYO
KATIBU KIVULI WA PSPR DODOMA,[emoji23]
Sawa kaka. Japo ulivyojiita chawa wa PSRS umefanya hata imani yetu kwenye majibu yako itetereke.
Ukizisoma kanuni na taratibu za PSRS utagundua hazina tatizo, tatizo liko kwenye utekelezeji.
Vitu kama muda kutoka kutangazwa tangazo la ajira mpaka kupatikana wafanyakazi vyote vizungumzwa, tena vinavutia sana kusoma.
Kunachowafanya PSPR wasifurukute ni kanuni na taratibu zilizowekwa kipindi cha kuanzisha hii department kwahyo hakuna wa kwenda against ili watu waajiriwe kwa wakati (hakuna alieshiba atakupambania wewe mwenye njaa ushibe)labda itokee taratibu,sera na kanuni zibadilishwe..malalamiko yetu ndio yatawafanya wayajue mapungufu yooote yaliowazunguka na kuanza kuyafanyia kazi kwahyo tuendelee kupiga mayowe ili wajue wapi panashida ili patatuliwe...changamoto ipo kwenye mifumo ya serikali wala si TAASISI ZINAZOTAKA WAAJILIWA AU PSPR
Kwann nasema ivo?
PSPR wanaendesha mchakato wao kwa muda Waliopanga depending na Idadi ya watu then wakimaliza wanarudisha taarifa kwa government kuwa idadi inayohitajika imepatikana au LA! Then sasa final say ni GAVAMENT kutoa go ahead kwamba fyatua mkeka watu wakale keki ya nchi (asali) au la! So PSPR awezi akafyatua mkeka akapata confirmation kutoka GAVA...kwahyo mpka muda huu IT wa PSPR anajua ni Nani anaenda wapi na Nani anabaki wapi but thing that I want to say is....miscommunication Kati ya TAASISI,GOVERNMENT na PSPR ndyo inayowaumiza JOB FINDERS so kipi kifanyike?
By my opinion: mchakato wa ajira baada ya deadline uchukue mwezi mmoja ili watu waandae nauli then after usaili wachukue tena mwezi 1 ili watu wajiandae kupata nauli za kufata barua then zitolewe week 3 mtu kufika kwa mwajili wake so mchakato mzima huu uchukue 3month hii nazani itakua balanced sanaaaa
najua watu wanatamani hata baada ya dead line next week. Iwe intavoo then following after next week iwe placement ila tuanze tu na 3 month hapa tutaokoa muda na kupunguza jamu kwenye majukwaa kama haya na kwenye website zao...
Mpka sasa nusu ya wahitimu wa vyuoinaitazama PSPR kama mama na baba Yao na PSPR isipookua makini kuipelekea napendekezo serikali basi itapoteza hata sifa zake zilizopo tayari WALIZOJIWEKEA
YANGU NI HAYO
KATIBU KIVULI WA PSPR DODOMA,[emoji23]
Humu Ndani Kuna Wanaosubiria Placement, na wanaosubiria advertisment. Bora nyie wa placement muda wowote hata muda huu inaweza toka Pdf ukaramba asali.
Thn kuna sisi ,itokee advertisment leo tarehe 19/11/2023.... Kuomba deadline 05/12/2023.
Kuitwa hapo 03/03/2024.
So kuanzia hapo ndio tunaanza sasa kusikiliza placement..
So almost sisi ambao hatujafanya Oral...tuna safari kubwa sana almost miezi 4 ....hapo ndio tuseme watoe advertisment leo
Taasisi gan hiyoMimi tangu ni apply nna miez 5 nautafuta wa 6 bad placement nayo more than 5 months kwahy unaweza ukashangaa raia anaajiliwa mwakan mwez wa7
Tupoo... Watoe basi hata Adverts wadau tuombeeHumu Ndani Kuna Wanaosubiria Placement, na wanaosubiria advertisment. Bora nyie wa placement muda wowote hata muda huu inaweza toka Pdf ukaramba asali.
Thn kuna sisi ,itokee advertisment leo tarehe 19/11/2023.... Kuomba deadline 05/12/2023.
Kuitwa hapo 03/03/2024.
So kuanzia hapo ndio tunaanza sasa kusikiliza placement..
So almost sisi ambao hatujafanya Oral...tuna safari kubwa sana almost miezi 4 ....hapo ndio tuseme watoe advertisment leo
Umesahau haki ya matokeo ya oral mkuu[emoji23][emoji479]BARUA YA WAZI KWA SEKRATARIETI YA UTUMISHI WA UMMA (PSRS)
Habari za Asubuhi, ndugu watanzania nikiwa kama mhitimu wa chuo kwa muda wa miaka minne sasa ila ni mmoja ya watanzania wenye haki na sifa zote za kuweza kupata ajira katika utumishi wa umma.
Kiukweli watafuta ajira tumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusiana na hii sekretarieti inayosimamia ajira za serikali kuanzia kuangaza nafasi ,usaili na kuita kazini na malalamiko hayo siku zote tumeshindwa kupata ufafanuzi wa dhati.
Nadhani uandishi wa barua hii ya wazi utasaidia niweze kupata tuweze kupata majibu ya haraka.
(1) kwanini mchakato wa ajira unatumia muda mrefu sana kuanzia miezi mitatu hadi mwaka,maana kuanzia kutangaza tangazo la kazi ,kuita watu watu kwa usaili na kuita watu kazini ilhali kibali kishatolewa muda mrefu ?
(2) kwanini kila usaili lazima ufanyike dodoma je hamna njia nyingine za kuboresha mifumo yenu watu wakafanya kila mkoa ?
(3)kwanini baadhi ya taasisi zimeanza kuajiri zenyewe ilhali nyie ndo mnaosimamia mchakato wote wa ajira za serikali kuanzia ngazi ya kijiji hadi juu mfano wa taasisi hizo ni TRA,NSSF,BOT,EWURA zina kibali kutoka wapi na mmeuthibitisha michakato yao.
(4)Kazidata au database mnasema inatumika kwa mwaka mmoja wakati mchakato wenu unatumia muda mrefu na mara zote mmeanza kuhesabu mchakato mara baada majina ya kazi yanapotangazwa.
(5)mwisho kumekuwa na ukimya mkubwa sana katika ukurasa wenu kitu kinachopelekea watafuta ajira tuwe na wasiwasi yawezekana kuna michakato mingine inaendelea nyuma ya pazia .
TUNAOMBA MAJIBU....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku nimeenda PSRS naona vidada very beautiful vimekuja kuchukua barua za placement mmoja TAROAD mwingine TANAPA. Na sio kama wamebahatisha hapana hawa ni Civil Engineers. Ningekuwa sijao haki ningetangaza ndoa palepale.
Yani wakitoa leo, Umejitahidi sana kazini Mwakani Mwezi wa 6Tupoo... Watoe basi hata Adverts wadau tuombee
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
mwez wa saba karibu ivoMimi tangu ni apply nna miez 5 nautafuta wa 6 bad placement nayo more than 5 months kwahy unaweza ukashangaa raia anaajiliwa mwakan mwez wa7
Si kila chawa ni mpambe wa boss, wengne ni chawa tunaomuonesha boss aache uchafu na ajifunze katika usafi (ni tafsiri tu ya lugha yetu hadhimu ya kiswankada) all in all PSPR haiwezi kukamilisha mchakato na kubaki na majina tu bila ya sababu za msingi (mama akishindwa kupika pilau la sikukuu atumlaumu mama tuna muulize baba kwanini ajaemea sasa kosa kubwa ni pale baba atakapotwambia ajaemea kwasababu ajapata pesa) kwahyo PSPR kama mama yetu anafelishwa na government niamini MIMI jam la mafaili lililopo PSPR nahisi linatima hapa na KIBAIGWA[emoji23](kidding) Kuna ajira mpya azijatangazwa,kuna wanaosubiria intavoo,kuna wanaosubiri placement na utumishi wao pia bado wana uhaba wa wafanyakazi hapo sasa ndo patamu na hakuna Anaependa ofisini mwake kuwe na msongamano wa kazi kama izi kwahyo even though PSPR ata kuwa na mapungufu (obviously)hayakosi but serikali ndyo ya kulaumu coz PSPR iko ndani ya ofisi ya BIMDASH so ni swala la BIMDASH wa watumishi wake kurekebisha haya sio sisi tu watoto wa kimasikini mpka hata hao wenye experience ya miaka 15 na wameshakula mema ya nchi wakitaka kuomba ajira mpya wana wait kama sisi japo tofauti yetu ss tunaamka na remote asubh mpk evening but wao bado wako on system
Wenu katika kuyapuyanga[emoji23]
KATIBU kivuli PSPR
mwez wa saba karibu ivo
Hahahahaha! Sawa Prof.
kweli kabisaIla swala sometimes ukiliangalia spiritual ni kwamba muda wetu nao aujafika ukifika kazi zitakujazenyewe