Namshukuru Mungu nami nimelamba [emoji518]. Nawaombea mnaoendelea kupambania [emoji518] nanyi siku yenu ifike. Muhimu maandalizi ya interview yawe mazuri, tujiamini, tumwombe Mungu maana ndiye anaweza kutuvusha. Nawashukuru kwa comments zenu kupitia uzi huu, nilitiwa moyo kusonga mbele, kila wakati nilisafiri kutoka kijijini. Interview 5 na ya tano imenipa kazi. Tusikate tamaa, mapambano hadi kieleweke.
Namshukuru Mungu nami nimelamba π―. Nawaombea mnaoendelea kupambania π― nanyi siku yenu ifike. Muhimu maandalizi ya interview yawe mazuri, tujiamini, tumwombe Mungu maana ndiye anaweza kutuvusha. Nawashukuru kwa comments zenu kupitia uzi huu, nilitiwa moyo kusonga mbele, kila wakati nilisafiri kutoka kijijini. Interview 5 na ya tano imenipa kazi. Tusikate tamaa, mapambano hadi kieleweke.
Hongera sana mkuu ukawe mtumishi mwema na mwadilifu, ukachape kazi mkuuNamshukuru Mungu nami nimelamba π―. Nawaombea mnaoendelea kupambania π― nanyi siku yenu ifike. Muhimu maandalizi ya interview yawe mazuri, tujiamini, tumwombe Mungu maana ndiye anaweza kutuvusha. Nawashukuru kwa comments zenu kupitia uzi huu, nilitiwa moyo kusonga mbele, kila wakati nilisafiri kutoka kijijini. Interview 5 na ya tano imenipa kazi. Tusikate tamaa, mapambano hadi kieleweke.
Mkuu mbona kama unaconection kubwa huko PSRS ya kujua yanayojiri nakufata inbox tuyajenge kwanza.Daaag nataman Niwe wewe bro
Iko siku njia yako itakuwa wazi. Usiache kupambanaDaaag nataman Niwe wewe bro
Mkuu mbona kama unaconection kubwa huko PSRS ya kujua yanayojiri nakufata inbox tuyajenge kwanza.
Changamoto ni moja PSPR washatoa bonge la sheet linalosema mifumo na uwakibikaji wao sema ni vile hatupendagi kusoma ila kila kitu kiko available kwenye mitandao Yao sasa basi.... PSPR awawezi kupeleka mtu placement bila ya taasisi husika kumuhitaji mtu uyo kwa sasa ila inshort mchakato wa usaili hauna muda maalumu its depending na wahusika katika taasisi wanamuhitaji mwajiliwa immediately au 5month leter after kutoa kibali..[emoji1488][emoji599]akhsanteni....ila kuanzia juma4 wale tunaosubiria saili na placement zinaanza kumiminika lengo ni January watu wawe wanaramba asali
hongera sana mkuuNamshukuru Mungu nami nimelamba π―. Nawaombea mnaoendelea kupambania π― nanyi siku yenu ifike. Muhimu maandalizi ya interview yawe mazuri, tujiamini, tumwombe Mungu maana ndiye anaweza kutuvusha. Nawashukuru kwa comments zenu kupitia uzi huu, nilitiwa moyo kusonga mbele, kila wakati nilisafiri kutoka kijijini. Interview 5 na ya tano imenipa kazi. Tusikate tamaa, mapambano hadi kieleweke.
Ukiona hivyo ujue Uhitaji ni mkubwa na hao waliopo database ni wachache ndo mana wanatangaza tena.Hivi inakuwaje mfano mnafanya oral Leo labda ya ICT officer Tanroad, nafasi 10. Halafu baada ya siku 3 watu 10 wanaitwa kazini Kwa nafasi hiyo hiyo na Tangazo linaonyesha labda walioitwa ni waliofanya usaili kati ya january- march 2023.
Je ni kwamba hizo nafasi mlizofanyia saili tayari Kuna watu labda walikuwa data base?
Kama jibu ni ndiyo kulikuwa na haja Gani Tena ya kuita watu kufanyia usaili
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema.Namshukuru Mungu nami nimelamba π―. Nawaombea mnaoendelea kupambania π― nanyi siku yenu ifike. Muhimu maandalizi ya interview yawe mazuri, tujiamini, tumwombe Mungu maana ndiye anaweza kutuvusha. Nawashukuru kwa comments zenu kupitia uzi huu, nilitiwa moyo kusonga mbele, kila wakati nilisafiri kutoka kijijini. Interview 5 na ya tano imenipa kazi. Tusikate tamaa, mapambano hadi kieleweke.
Hongera mkuu, kawe mtumishi mwema.Namshukuru Mungu nami nimelamba [emoji518]. Nawaombea mnaoendelea kupambania [emoji518] nanyi siku yenu ifike. Muhimu maandalizi ya interview yawe mazuri, tujiamini, tumwombe Mungu maana ndiye anaweza kutuvusha. Nawashukuru kwa comments zenu kupitia uzi huu, nilitiwa moyo kusonga mbele, kila wakati nilisafiri kutoka kijijini. Interview 5 na ya tano imenipa kazi. Tusikate tamaa, mapambano hadi kieleweke.
Mzee wa umeme, kila pdf ikitoka lazima nikucheck na ww, ila holaa!kwa hiyo pdf ndo mpaka wa kwanza sio??
Hongera sana kaka,Namshukuru Mungu nami nimelamba π―. Nawaombea mnaoendelea kupambania π― nanyi siku yenu ifike. Muhimu maandalizi ya interview yawe mazuri, tujiamini, tumwombe Mungu maana ndiye anaweza kutuvusha. Nawashukuru kwa comments zenu kupitia uzi huu, nilitiwa moyo kusonga mbele, kila wakati nilisafiri kutoka kijijini. Interview 5 na ya tano imenipa kazi. Tusikate tamaa, mapambano hadi kieleweke.
Hongera [emoji120] kwako Bro mwangilia Moyo kidogo Kwa kuachana na UjoblessNamshukuru Mungu nami nimelamba [emoji518]. Nawaombea mnaoendelea kupambania [emoji518] nanyi siku yenu ifike. Muhimu maandalizi ya interview yawe mazuri, tujiamini, tumwombe Mungu maana ndiye anaweza kutuvusha. Nawashukuru kwa comments zenu kupitia uzi huu, nilitiwa moyo kusonga mbele, kila wakati nilisafiri kutoka kijijini. Interview 5 na ya tano imenipa kazi. Tusikate tamaa, mapambano hadi kieleweke.
ni shihdahh...Mzee wa umeme, kila pdf ikitoka lazima nikucheck na ww, ila holaa!