Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Namshukuru Mungu nami nimelamba 🍯. Nawaombea mnaoendelea kupambania 🍯 nanyi siku yenu ifike. Muhimu maandalizi ya interview yawe mazuri, tujiamini, tumwombe Mungu maana ndiye anaweza kutuvusha. Nawashukuru kwa comments zenu kupitia uzi huu, nilitiwa moyo kusonga mbele, kila wakati nilisafiri kutoka kijijini. Interview 5 na ya tano imenipa kazi. Tusikate tamaa, mapambano hadi kieleweke.
 
Namshukuru Mungu nami nimelamba [emoji518]. Nawaombea mnaoendelea kupambania [emoji518] nanyi siku yenu ifike. Muhimu maandalizi ya interview yawe mazuri, tujiamini, tumwombe Mungu maana ndiye anaweza kutuvusha. Nawashukuru kwa comments zenu kupitia uzi huu, nilitiwa moyo kusonga mbele, kila wakati nilisafiri kutoka kijijini. Interview 5 na ya tano imenipa kazi. Tusikate tamaa, mapambano hadi kieleweke.

Daaag nataman Niwe wewe bro
 
Hongera sana mkuu Desktop 👊👊

Nakutakia mafanikio tele katika maisha yako ya Utumishi wa Umma. Kazingatie Sheria, Taratibu na Kanuni za kazi yako pale unapotimiza majukumu yako na pia katende haki.

Furahia habari hii nzuri ukiwa na ndugu na jamaa zako wa karibu kwani haikuwa jambo rahisi mpala kufika hapo.

Pia, kumbuka kutoa Shukurani kwa watu wenye uhitaji toka ktk jamii yako inayokuzunguka kama vile watoto yatima, walemavu, wenye magonjwa n.k

Hakika hutajutaa

👊👊👊
 
Namshukuru Mungu nami nimelamba 🍯. Nawaombea mnaoendelea kupambania 🍯 nanyi siku yenu ifike. Muhimu maandalizi ya interview yawe mazuri, tujiamini, tumwombe Mungu maana ndiye anaweza kutuvusha. Nawashukuru kwa comments zenu kupitia uzi huu, nilitiwa moyo kusonga mbele, kila wakati nilisafiri kutoka kijijini. Interview 5 na ya tano imenipa kazi. Tusikate tamaa, mapambano hadi kieleweke.
Hongera sana mkuu ukawe mtumishi mwema na mwadilifu, ukachape kazi mkuu
 
Changamoto ni moja PSPR washatoa bonge la sheet linalosema mifumo na uwakibikaji wao sema ni vile hatupendagi kusoma ila kila kitu kiko available kwenye mitandao Yao sasa basi.... PSPR awawezi kupeleka mtu placement bila ya taasisi husika kumuhitaji mtu uyo kwa sasa ila inshort mchakato wa usaili hauna muda maalumu its depending na wahusika katika taasisi wanamuhitaji mwajiliwa immediately au 5month leter after kutoa kibali..[emoji1488][emoji599]akhsanteni....ila kuanzia juma4 wale tunaosubiria saili na placement zinaanza kumiminika lengo ni January watu wawe wanaramba asali

[emoji419][emoji1426][emoji1426][emoji1426][emoji1426]
 
Namshukuru Mungu nami nimelamba 🍯. Nawaombea mnaoendelea kupambania 🍯 nanyi siku yenu ifike. Muhimu maandalizi ya interview yawe mazuri, tujiamini, tumwombe Mungu maana ndiye anaweza kutuvusha. Nawashukuru kwa comments zenu kupitia uzi huu, nilitiwa moyo kusonga mbele, kila wakati nilisafiri kutoka kijijini. Interview 5 na ya tano imenipa kazi. Tusikate tamaa, mapambano hadi kieleweke.
hongera sana mkuu
 
Hivi inakuwaje mfano mnafanya oral Leo labda ya ICT officer Tanroad, nafasi 10. Halafu baada ya siku 3 watu 10 wanaitwa kazini Kwa nafasi hiyo hiyo na Tangazo linaonyesha labda walioitwa ni waliofanya usaili kati ya january- march 2023.

Je ni kwamba hizo nafasi mlizofanyia saili tayari Kuna watu labda walikuwa data base?
Kama jibu ni ndiyo kulikuwa na haja Gani Tena ya kuita watu kufanyia usaili

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona hivyo ujue Uhitaji ni mkubwa na hao waliopo database ni wachache ndo mana wanatangaza tena.
 
Namshukuru Mungu nami nimelamba 🍯. Nawaombea mnaoendelea kupambania 🍯 nanyi siku yenu ifike. Muhimu maandalizi ya interview yawe mazuri, tujiamini, tumwombe Mungu maana ndiye anaweza kutuvusha. Nawashukuru kwa comments zenu kupitia uzi huu, nilitiwa moyo kusonga mbele, kila wakati nilisafiri kutoka kijijini. Interview 5 na ya tano imenipa kazi. Tusikate tamaa, mapambano hadi kieleweke.
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema.
 
Namshukuru Mungu nami nimelamba [emoji518]. Nawaombea mnaoendelea kupambania [emoji518] nanyi siku yenu ifike. Muhimu maandalizi ya interview yawe mazuri, tujiamini, tumwombe Mungu maana ndiye anaweza kutuvusha. Nawashukuru kwa comments zenu kupitia uzi huu, nilitiwa moyo kusonga mbele, kila wakati nilisafiri kutoka kijijini. Interview 5 na ya tano imenipa kazi. Tusikate tamaa, mapambano hadi kieleweke.
Hongera mkuu, kawe mtumishi mwema.

Nasi zamu yetu itafika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namshukuru Mungu nami nimelamba 🍯. Nawaombea mnaoendelea kupambania 🍯 nanyi siku yenu ifike. Muhimu maandalizi ya interview yawe mazuri, tujiamini, tumwombe Mungu maana ndiye anaweza kutuvusha. Nawashukuru kwa comments zenu kupitia uzi huu, nilitiwa moyo kusonga mbele, kila wakati nilisafiri kutoka kijijini. Interview 5 na ya tano imenipa kazi. Tusikate tamaa, mapambano hadi kieleweke.
Hongera sana kaka,
 
Namshukuru Mungu nami nimelamba [emoji518]. Nawaombea mnaoendelea kupambania [emoji518] nanyi siku yenu ifike. Muhimu maandalizi ya interview yawe mazuri, tujiamini, tumwombe Mungu maana ndiye anaweza kutuvusha. Nawashukuru kwa comments zenu kupitia uzi huu, nilitiwa moyo kusonga mbele, kila wakati nilisafiri kutoka kijijini. Interview 5 na ya tano imenipa kazi. Tusikate tamaa, mapambano hadi kieleweke.
Hongera [emoji120] kwako Bro mwangilia Moyo kidogo Kwa kuachana na Ujobless
 
Mikausho mikali kutoka PSRS 😁
Screenshot (129).png
 
Hapa tuambiane ukweli tu, kuhusu advertisment kama zile MDA's & LGA's sisi ambao tulienda na hatukufika Oral zile ndio zilikuwa chance za mwaka huu ....Mimi naamini Mpka Mwaka unaisha sitokaa kuona Tangazo la kazi ya Kada yangu ... Cz nafasi ikitoka watatangazaje wakati kuna Database Special ya MDA & LGA.

Yaani ni full package, wizara ikitaka mtu, chomoa peleka... Taasisi ikitaka mtu chomoa peleka, Board ikitaka mtu chomoa peleka, Halmashauri etc... Kiufupi sisi ambao hatujafanya oral mpka muda huu kazi tunayo kuhusu Tangazo jipya la ajira.
 
Back
Top Bottom