Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wewe nikada gani?
 
ni shihdahh...
Kuna mambo ya ovyo sana psrs ,sasa imagine ile interview tuliofanya mwezi wa sita MDA &LgA mpaka sasa hata nusu ya majina ya Placement Kwa nafasi walizotangaza hayajatoka tunaenda miezi sita sasa , sasa hii tuieleweje ?
Na hata hiyo Data base wataanza kuhesabu tangia lini ?
Maana Data base tunaambiwa ni mwaka ,sasa kama placement za kazi zinachukua miezi zaidi ya sita kutoka hiyo Data base wanaihesabu vipi ?
Aisee
 
Yaani ile interview sijui walikua na maana gani.mpaka leo bado sjaelewa na sitakuja kuelewa aisee
 
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
 
Ujobless mbaya[emoji24][emoji24] Kuna chief ananiambia anawadm instagram viongoz wampatie fursa ya ajira mm nimemwambia pengin hizo account hawaendeshagi wao[emoji3]
Hahahaaa.

Kuna kipindi niliwahi ku DM, Director General wa Mamlaka fulani, hakuwahi kunijibu ila aliendelea tu na engagement kama kawaida kule Twitter.

Baadae alikuja kutumbuliwa na Mwendazake na kufunguliwa mashtaka kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…