El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
kuna cozi nyingine ukisoma utakiona cha mtemakuni..Mzee wa umeme, kila pdf ikitoka lazima nikucheck na ww, ila holaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna cozi nyingine ukisoma utakiona cha mtemakuni..Mzee wa umeme, kila pdf ikitoka lazima nikucheck na ww, ila holaa!
Daah, mm kila siku zinavyozidi kusonga ndio naona giza!! sijui hata kama jina langu lipo huko database au laah!! yaani nabahatisha tu, ila nauhakika nilifaulu.kuna cozi nyingine ukisoma utakiona cha mtemakuni..
Wewe nikada gani?Hapa tuambiane ukweli tu, kuhusu advertisment kama zile MDA's & LGA's sisi ambao tulienda na hatukufika Oral zile ndio zilikuwa chance za mwaka huu ....Mimi naamini Mpka Mwaka unaisha sitokaa kuona Tangazo la kazi ya Kada yangu ... Cz nafasi ikitoka watatangazaje wakati kuna Database Special ya MDA & LGA.
Yaani ni full package, wizara ikitaka mtu, chomoa peleka... Taasisi ikitaka mtu chomoa peleka, Board ikitaka mtu chomoa peleka, Halmashauri etc... Kiufupi sisi ambao hatujafanya oral mpka muda huu kazi tunayo kuhusu Tangazo jipya la ajira.
Kuna mambo ya ovyo sana psrs ,sasa imagine ile interview tuliofanya mwezi wa sita MDA &LgA mpaka sasa hata nusu ya majina ya Placement Kwa nafasi walizotangaza hayajatoka tunaenda miezi sita sasa , sasa hii tuieleweje ?ni shihdahh...
Yaani ile interview sijui walikua na maana gani.mpaka leo bado sjaelewa na sitakuja kuelewa aiseeKuna mambo ya ovyo sana psrs ,sasa imagine ile interview tuliofanya mwezi wa sita MDA &LgA mpaka sasa hata nusu ya majina ya Placement Kwa nafasi walizotangaza hayajatoka tunaenda miezi sita sasa , sasa hii tuieleweje ?
Na hata hiyo Data base wataanza kuhesabu tangia lini ?
Maana Data base tunaambiwa ni mwaka ,sasa kama placement za kazi zinachukua miezi zaidi ya sita kutoka hiyo Data base wanaihesabu vipi ?
Aisee
kwa hii system ya ajira maji tutaita mma.. 🤣 🤣Daah, mm kila siku zinavyozidi kusonga ndio naona giza!! sijui hata kama jina langu lipo huko database au laah!! yaani nabahatisha tu, ila nauhakika nilifaulu.
Imagine mwanangu kila comments ikiingia lazima nije nichungulie, yaani nimekuwa kama mtumwa..,kitaa hali mbaya jombaa, tatizo utumishi sio shida zao.utumishi hebu changamkeni jaman huku majumbani tunaonekana mandezi kweli mie ni wakutumwa kiberiti dukan nakati dogo yupo.
usipime..Imagine mwanangu kila comments ikiingia lazima nije nichungulie, yaani nimekuwa kama mtumwa..,kitaa hali mbaya jombaa, tatizo utumishi sio shida zao.
sio yeye tu, hata mm nimewahi mdiem baba keagan PAUL MAKONDA akiwa mkuu wa mkoa dsmUjobless mbaya[emoji24][emoji24] Kuna chief ananiambia anawadm instagram viongoz wampatie fursa ya ajira mm nimemwambia pengin hizo account hawaendeshagi wao[emoji3]
Alijibu au alipotezeasio yeye tu, hata mm nimewahi mdiem baba keagan PAUL MAKONDA akiwa mkuu wa mkoa dsm
huwa wanajibu verified account, kifupi sikujibiwaAlijibu au alipotezea
Wakuu tunaomba jibu la hili swaliMkuu naomba Tuelezeee Status yako App na Web ...iliwahi kuwa na mabadiriko yoyote tofauti na Kuona ... Selected for oral interview?? Desktop
Ni vituko sanaYaani ile interview sijui walikua na maana gani.mpaka leo bado sjaelewa na sitakuja kuelewa aisee
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaNamshukuru Mungu nami nimelamba [emoji518]. Nawaombea mnaoendelea kupambania [emoji518] nanyi siku yenu ifike. Muhimu maandalizi ya interview yawe mazuri, tujiamini, tumwombe Mungu maana ndiye anaweza kutuvusha. Nawashukuru kwa comments zenu kupitia uzi huu, nilitiwa moyo kusonga mbele, kila wakati nilisafiri kutoka kijijini. Interview 5 na ya tano imenipa kazi. Tusikate tamaa, mapambano hadi kieleweke.
Naona umefungulia link kama zote hapo, hadi Buyobe [emoji23][emoji23][emoji23]Mikausho mikali kutoka PSRS [emoji16]View attachment 2821380
Hahahaaa.Ujobless mbaya[emoji24][emoji24] Kuna chief ananiambia anawadm instagram viongoz wampatie fursa ya ajira mm nimemwambia pengin hizo account hawaendeshagi wao[emoji3]