Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hapa tuambiane ukweli tu, kuhusu advertisment kama zile MDA's & LGA's sisi ambao tulienda na hatukufika Oral zile ndio zilikuwa chance za mwaka huu ....Mimi naamini Mpka Mwaka unaisha sitokaa kuona Tangazo la kazi ya Kada yangu ... Cz nafasi ikitoka watatangazaje wakati kuna Database Special ya MDA & LGA.

Yaani ni full package, wizara ikitaka mtu, chomoa peleka... Taasisi ikitaka mtu chomoa peleka, Board ikitaka mtu chomoa peleka, Halmashauri etc... Kiufupi sisi ambao hatujafanya oral mpka muda huu kazi tunayo kuhusu Tangazo jipya la ajira.
Wewe nikada gani?
 
ni shihdahh...
Kuna mambo ya ovyo sana psrs ,sasa imagine ile interview tuliofanya mwezi wa sita MDA &LgA mpaka sasa hata nusu ya majina ya Placement Kwa nafasi walizotangaza hayajatoka tunaenda miezi sita sasa , sasa hii tuieleweje ?
Na hata hiyo Data base wataanza kuhesabu tangia lini ?
Maana Data base tunaambiwa ni mwaka ,sasa kama placement za kazi zinachukua miezi zaidi ya sita kutoka hiyo Data base wanaihesabu vipi ?
Aisee
 
Yaani ile interview sijui walikua na maana gani.mpaka leo bado sjaelewa na sitakuja kuelewa aisee
 
Namshukuru Mungu nami nimelamba [emoji518]. Nawaombea mnaoendelea kupambania [emoji518] nanyi siku yenu ifike. Muhimu maandalizi ya interview yawe mazuri, tujiamini, tumwombe Mungu maana ndiye anaweza kutuvusha. Nawashukuru kwa comments zenu kupitia uzi huu, nilitiwa moyo kusonga mbele, kila wakati nilisafiri kutoka kijijini. Interview 5 na ya tano imenipa kazi. Tusikate tamaa, mapambano hadi kieleweke.
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
 
Ujobless mbaya[emoji24][emoji24] Kuna chief ananiambia anawadm instagram viongoz wampatie fursa ya ajira mm nimemwambia pengin hizo account hawaendeshagi wao[emoji3]
Hahahaaa.

Kuna kipindi niliwahi ku DM, Director General wa Mamlaka fulani, hakuwahi kunijibu ila aliendelea tu na engagement kama kawaida kule Twitter.

Baadae alikuja kutumbuliwa na Mwendazake na kufunguliwa mashtaka kabisa.
 
Back
Top Bottom