jeneralikevin
JF-Expert Member
- Jun 24, 2020
- 347
- 231
Jiandae kama ushawahi kufanya kazi kwenye hiyo position.Ndio utupe na sisi abc za kutoboa oral nini cha kufanya ili tuweze kulamba asali.....
Huwa ni kama dk ngapi unawekwa mtu kati?Jiandae kama ushawahi kufanya kazi kwenye hiyo position.
Jiandae kama ushawahi kufanya kazi kwenye hiyo position.
Kuna nafasi ya Examination officer ii (General-hawakuweka somo) ilikiwa na post mbili kama Registration officer ii, naona hapo wajaitwa, shida inaweza kuwa nini au ndio wamekadwa wote ila sidhan?Mlio fanya mkando wa NECTA mwezi wa 10, Hongereni sana mliopata. Hamjacheleweshewa ngoma kabisa.
Kila la kheri kwenye majukumu yenu
Course gani na kitengo ganiDah! Mungu mkubwa na mimi leo nimepata kazi. Nipende kuwashukuru wanajukwaa wote kwa michango yenu imenisaidia sana na kuzingatia i was just fresh from school(graduated in 2022) na expirience yote nimeitoa kwenye hili jukwaa. Mwenyezi Mungu azidi kuwapambania nyote mnaotafuta ajira.
Hiyo nafasi niliwahi kuiona kwenye placement zilizotoka siku za nyuma, huenda ishajazwa, sidhani kama wanaweza kutoa placement halafu nyingine waiache(labda watu wafeli wote).Kuna nafasi ya Examination officer ii (General-hawakuweka somo) ilikiwa na post mbili kama Registration officer ii, naona hapo wajaitwa, shida inaweza kuwa nini au ndio wamekadwa wote ila sidhan?
Mambo yanaweza kuwa mawiliKuna nafasi ya Examination officer ii (General-hawakuweka somo) ilikiwa na post mbili kama Registration officer ii, naona hapo wajaitwa, shida inaweza kuwa nini au ndio wamekadwa wote ila sidhan?
12 july,zilitangazwaPlacement za TIRA, Insurance Officer kazi zake zilitangazwa lini? Sijawahi ona tangazo la kazi
Duh! Jamaa kila siku analalamika fani yake ajira hazitangazwi hii ndio kaikosa tena asubiri wengine wakistaafu12 july,zilitangazwa
Hongera kwa bahati hiyo usije kuwasimanga joblessDah! Mungu mkubwa na mimi leo nimepata kazi. Nipende kuwashukuru wanajukwaa wote kwa michango yenu imenisaidia sana na kuzingatia i was just fresh from school(graduated in 2022) na expirience yote nimeitoa kwenye hili jukwaa. Mwenyezi Mungu azidi kuwapambania nyote mnaotafuta ajira.
Hiyo kozi ni jau sana kazi zake mpaka mwaka unapita huoni tangazo la kazi na ukiliona tangazo nafasi hazizidi mbili kwa mfano hilo la TIRA nafasi zilikua mbili waliomba watu 400 ni balaa hili kama una ndugu ni vizuri kumshauri kozi za kusoma japo mi sijasoma hio kozi kwa sababu Kuna mtu analalamikia hiyo koziDuh! Jamaa kila siku analalamika fani yake ajira hazitangazwi hii ndio kaikosa tena asubiri wengine wakistaafu
Kozi gani mkuuHiyo kozi ni jau sana kazi zake mpaka mwaka unapita huoni tangazo la kazi na ukiliona tangazo nafasi hazizidi mbili kwa mfano hilo la TIRA nafasi zilikua mbili waliomba watu 400 ni balaa hili kama una ndugu ni vizuri kumshauri kozi za kusoma japo mi sijasoma hio kozi kwa sababu Kuna mtu analalamikia hiyo kozi
Hiyo insurance and risk management nafikiri hiyo risk management haitambuliki utumishi labda insurance maana kila idara serikalini lazima iwe na kitengo Cha risk management lakini ndoivo huwaga sioni matangazo ya kaziKozi gani mkuu
Hawa si ndo wanaajiriwa sana uko bima na nssf uko pssfHiyo insurance and risk management nafikiri hiyo risk management haitambuliki utumishi labda insurance maana kila idara serikalini lazima iwe na kitengo Cha risk management lakini ndoivo huwaga sioni matangazo ya kazi
Balaa linaanzia apo hao wote hawapiti utumishi mpaka uwe na connection kuingia ukoHawa si ndo wanaajiriwa sana uko bima na nssf uko pssf
Kuna Mkeka nasikia una majina Buku wa kufungua Mwaka 🤣keepwaitingiIT alivyoweka pale upande wa interview sidhani kama Tutarajie interview nyingine ndani ya mwaka huu.
Nadhani psrs wengi wanaenda likizo .