Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mlio fanya mkando wa NECTA mwezi wa 10, Hongereni sana mliopata. Hamjacheleweshewa ngoma kabisa.

Kila la kheri kwenye majukumu yenu
Kuna nafasi ya Examination officer ii (General-hawakuweka somo) ilikiwa na post mbili kama Registration officer ii, naona hapo wajaitwa, shida inaweza kuwa nini au ndio wamekadwa wote ila sidhan?
 
Dah! Mungu mkubwa na mimi leo nimepata kazi. Nipende kuwashukuru wanajukwaa wote kwa michango yenu imenisaidia sana na kuzingatia i was just fresh from school(graduated in 2022) na expirience yote nimeitoa kwenye hili jukwaa. Mwenyezi Mungu azidi kuwapambania nyote mnaotafuta ajira.
Course gani na kitengo gani
 
Kuna nafasi ya Examination officer ii (General-hawakuweka somo) ilikiwa na post mbili kama Registration officer ii, naona hapo wajaitwa, shida inaweza kuwa nini au ndio wamekadwa wote ila sidhan?
Hiyo nafasi niliwahi kuiona kwenye placement zilizotoka siku za nyuma, huenda ishajazwa, sidhani kama wanaweza kutoa placement halafu nyingine waiache(labda watu wafeli wote).

Hata hivyo wahusika waliofanya hiyo nafasi waendelee kusubiri wanaweza kuitwa au kuitwa kwa nafasi nyingine kwenye taasisi nyingine
 
Kuna nafasi ya Examination officer ii (General-hawakuweka somo) ilikiwa na post mbili kama Registration officer ii, naona hapo wajaitwa, shida inaweza kuwa nini au ndio wamekadwa wote ila sidhan?
Mambo yanaweza kuwa mawili
1. Wamekandwa wote hawajafikia 50
AU
2. Waliopita wote ni fresh graduate ambao hawajawahi kufanya kazi za baraza hata mara moja ila wamepiga desa vizuri wakatoboa. Examination Officer ni kazi nyeti na inayohitaji umakini na uzoefu mkubwa. Miaka ya nyuma walikuwa wanatafuta walimu wenye miaka 10+ kazini wanawahamishia baraza. Sawa wewe umepita usaili lakini CV yako uzoefu ni field ya chuo kikuu
 
Dah! Mungu mkubwa na mimi leo nimepata kazi. Nipende kuwashukuru wanajukwaa wote kwa michango yenu imenisaidia sana na kuzingatia i was just fresh from school(graduated in 2022) na expirience yote nimeitoa kwenye hili jukwaa. Mwenyezi Mungu azidi kuwapambania nyote mnaotafuta ajira.
Hongera kwa bahati hiyo usije kuwasimanga jobless
 
Duh! Jamaa kila siku analalamika fani yake ajira hazitangazwi hii ndio kaikosa tena asubiri wengine wakistaafu
Hiyo kozi ni jau sana kazi zake mpaka mwaka unapita huoni tangazo la kazi na ukiliona tangazo nafasi hazizidi mbili kwa mfano hilo la TIRA nafasi zilikua mbili waliomba watu 400 ni balaa hili kama una ndugu ni vizuri kumshauri kozi za kusoma japo mi sijasoma hio kozi kwa sababu Kuna mtu analalamikia hiyo kozi
 
Kozi gani mkuu
 
Nadhani Replacement na advertising ndo zinaweza kubaki nazo haziwezi kuwa nyingi mpaka januari
 
Back
Top Bottom