ANoblePerson
JF-Expert Member
- Sep 30, 2023
- 466
- 701
Na wao ndiyo wameenza baada ya kupata Somo kwa UTUMISHIMbn hata huko TRA WAMEPAPA watu bila connection mkuu....kuomba t mung km rziki ipo ipoo tuu
Mbn hata huko TRA WAMEPAPA watu bila connection mkuu....kuomba t mung km rziki ipo ipoo tuu
Umeongea busara tupu kakaSo msikate tamaa , japo inaumiza gharama zile unazotumia pamoja na mihangaiko ili mradi uitoe familia kwenye matatizo but amini siku yako ipo .... Mungu atakuona tu utapata ....
Ujue suala la ridhki ni pana sana na mungu ameficha kama alivyoficha kesho .... Hivi mara ngapi umeona mtaani kwako / kuambiwa habari ...Fulani kapata kazi leo kesho/mwezi / miezi amefariki/kafukuzwa/hajadumu?? .... Sasa unaweza pata kitu kumbe ile ridhki mungu hajakupangia Either umedhurumu wengine/ umeenda kwa mganga.....
Kuna story humu kuna Staff wa TRA alijirusha kwenye ghorofa Tanga akafa... Sasa unakaa unajiuliza Kuna mtu yupo tra na anastress?? Kumbe ndio swala la ridhki...
Iringa kuna staff 10 wa Tra walikamatwa na Tin na leseni fake za magendo wapo Jera na kazi wamepoteza.....
Mtwara last 4 months ,jamaa kama sikosei 6 walikamwatwa kwa kupitisha madumu ya magendo wapo jera mwaka na kazi hakuna tena... So ukiona umekosa kitu shukuru tu.... Maybe ungepata ungeenda Ungepigwa majini mpka ukaona hiki nini.....So suala la Ridhki Mungu ameweka kificho but kama angeweza kutuonyesha mwisho wetu yani anakwambia hapa TRA kuna moja mbili na 3 mwisho wako unakuwa huu...thn huku kwenye kazi tu ya kawaida kuna moja mbili na 4 mwisho mwema .... Wote wangechagua mwisho mwema..
Mfano wa mwisho;- usipoelewa huu ndio basi tena... Je hakuna watu wana majumba ,magari na kila kitu ila wapo muhimbilii??? sasa yule aliyelala pale kitandani ukiambiwa upewe hela zake thn ulale wewe Utakubali??? Ila yule anatamani atoe utajiri wake wote ili tu apate afya...
So mmkosa , hawajatenda haki kutokutoa majina but maisha lazima yaendelee...kikubwa dua.
Wa kada gani mkuuWadau hili pipa la asali la TRA kwa kupitia hizi notifications through emails na mm nimeshuhudia kwa wanangu wawili wametumiwa baada ya msoto kidogo wa muda kitaa.
hongera sana afsa wangu,nakuombea kheriMREJESHO.
Wakuu nilikuwa nimeshataka kukata tamaa Ila Mungu anatuwazia mema kila wakati,
Nimebahatika kuchomoka kwenye database .
#This is December to remember.
Wa kada gani mkuu
sioni changamoto yoyote zaidi zaidi naona watu wameula TRA, hongera zao sanaMtaalamu wa IT chunguza tofauti hapo kwenye hizo e-mail mbili alizoshare mdau.
Kubwa zaidi, barua za TRA zinamtaja mdau kwa majina, siyo hiyo dear applicant,.
kweli kabisaNi mara mia PSRS wacheleweshe mchakato lakini watu wapate nafasi kwa haki na kwa uwazi, kuliko na gizani jinsi Taasisi zinavyofanya zenyewe.
Tumeona ya TRA, BoT( Ironbutterfly tupe mrejesho)
Haki imetendeka pia mkuuNi mara mia PSRS wacheleweshe mchakato lakini watu wapate nafasi kwa haki na kwa uwazi, kuliko na gizani jinsi Taasisi zinavyofanya zenyewe.
Tumeona ya TRA, BoT( Ironbutterfly tupe mrejesho)
Hawawezi kuweka watu wa magumashi pekee. Huwa wanamix kidogo ili wapate watetezi. Wanaweza kupiga ratio ya 4:6. Yaani wa 4 magumashi wa 2 kihalali. Ndio maana wamekua wazito kutoa pdf. Watu tuna pdf hadi za call for interview tutaanza kurencocile huko kama hao waliopata wamefanya written? Tutarudi kwenye pdf ya oral kureconcile mpaka tujue haki imefanyika au la? ndio maana wanaogopa kutoa pdfTRA kuna mwanangu katumiwa email kuwa kapata kazi, hopely mchakato waliendesha kwa haki. na pdf huenda wataitoa ni suala la muda tu ,kama walivyo fanya mwanzo.
hongereni mlio tusua TRA
Ni mara mia PSRS wacheleweshe mchakato lakini watu wapate nafasi kwa haki na kwa uwazi, kuliko na gizani jinsi Taasisi zinavyofanya zenyewe.
Tumeona ya TRA, BoT( Ironbutterfly tupe mrejesho)
[emoji849][emoji849].....kazi ipo ngoja tuwe na ImaniTRA kuna mwanangu katumiwa email kuwa kapata kazi, hopely mchakato waliendesha kwa haki. na pdf huenda wataitoa ni suala la muda tu ,kama walivyo fanya mwanzo.
hongereni mlio tusua TRA