Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ukiwa na kazi 8 ...3 ukatoa halali 5 ukatoa kwa connection...Bafo umewadhurumu 5 ambao wangepata haki....Kama waliweza toa majina sijui 5000+ plus call for interview ...wameshindwa toa majina hayo waliopata ambayo ni machache kuliko yale??
Mbn hata huko TRA WAMEPAPA watu bila connection mkuu....kuomba t mung km rziki ipo ipoo tuu
 
Mzee ITpersonel kwa sasa wew umebeba mikoba ya Makofia360,unatuletea za ndaaaani kabisa....
Kongole kwa hili kaka,last tym ulisema IT wa psrs ana pdf nne mkononi so ashatoa mbili tayar kwa hiyo zimebaki mbili mkonon....Mwenyezi Mungu nakuomba kwenye pdf ijayo nami nione jina langu na nitoe ushuhuda hapa jukwaani...amen
 
So msikate tamaa , japo inaumiza gharama zile unazotumia pamoja na mihangaiko ili mradi uitoe familia kwenye matatizo but amini siku yako ipo .... Mungu atakuona tu utapata ....

Ujue suala la ridhki ni pana sana na mungu ameficha kama alivyoficha kesho .... Hivi mara ngapi umeona mtaani kwako / kuambiwa habari ...Fulani kapata kazi leo kesho/mwezi / miezi amefariki/kafukuzwa/hajadumu?? .... Sasa unaweza pata kitu kumbe ile ridhki mungu hajakupangia Either umedhurumu wengine/ umeenda kwa mganga.....

Kuna story humu kuna Staff wa TRA alijirusha kwenye ghorofa Tanga akafa... Sasa unakaa unajiuliza Kuna mtu yupo tra na anastress?? Kumbe ndio swala la ridhki...

Iringa kuna staff 10 wa Tra walikamatwa na Tin na leseni fake za magendo wapo Jera na kazi wamepoteza.....

Mtwara last 4 months ,jamaa kama sikosei 6 walikamwatwa kwa kupitisha madumu ya magendo wapo jera mwaka na kazi hakuna tena... So ukiona umekosa kitu shukuru tu.... Maybe ungepata ungeenda Ungepigwa majini mpka ukaona hiki nini.....So suala la Ridhki Mungu ameweka kificho but kama angeweza kutuonyesha mwisho wetu yani anakwambia hapa TRA kuna moja mbili na 3 mwisho wako unakuwa huu...thn huku kwenye kazi tu ya kawaida kuna moja mbili na 4 mwisho mwema .... Wote wangechagua mwisho mwema..

Mfano wa mwisho;- usipoelewa huu ndio basi tena... Je hakuna watu wana majumba ,magari na kila kitu ila wapo muhimbilii??? sasa yule aliyelala pale kitandani ukiambiwa upewe hela zake thn ulale wewe Utakubali??? Ila yule anatamani atoe utajiri wake wote ili tu apate afya...

So mmkosa , hawajatenda haki kutokutoa majina but maisha lazima yaendelee...kikubwa dua.
Umeongea busara tupu kaka
 
Mtaalamu wa IT chunguza tofauti hapo kwenye hizo e-mail mbili alizoshare mdau.
Kubwa zaidi, barua za TRA zinamtaja mdau kwa majina, siyo hiyo dear applicant,.
sioni changamoto yoyote zaidi zaidi naona watu wameula TRA, hongera zao sana
 
TRA kuna mwanangu katumiwa email kuwa kapata kazi, hopely mchakato waliendesha kwa haki. na pdf huenda wataitoa ni suala la muda tu ,kama walivyo fanya mwanzo.

hongereni mlio tusua TRA
Hawawezi kuweka watu wa magumashi pekee. Huwa wanamix kidogo ili wapate watetezi. Wanaweza kupiga ratio ya 4:6. Yaani wa 4 magumashi wa 2 kihalali. Ndio maana wamekua wazito kutoa pdf. Watu tuna pdf hadi za call for interview tutaanza kurencocile huko kama hao waliopata wamefanya written? Tutarudi kwenye pdf ya oral kureconcile mpaka tujue haki imefanyika au la? ndio maana wanaogopa kutoa pdf
 
Back
Top Bottom