Kwenye Oral kuelewa ni ngumu sana watu wangapi wameingizwa kama wamepiga written..Hawawezi kuweka watu wa magumashi pekee. Huwa wanamix kidogo ili wapate watetezi. Wanaweza kupiga ratio ya 4:6. Yaani wa 4 magumashi wa 2 kihalali. Ndio maana wamekua wazito kutoa pdf. Watu tuna pdf hadi za call for interview tutaanza kurencocile huko kama hao waliopata wamefanya written? Tutarudi kwenye pdf ya oral kureconcile mpaka tujue haki imefanyika au la? ndio maana wanaogopa kutoa pdf
Hakuna haki inayotendeka gizani.Haki imetendeka pia mkuu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Huko BOT ndio Balaa
Written ilifanyika unaandika jina lako badala ya namba🥹
Sio watu wote wametendewa haki huko psrs so binafsi am supporting taasisi zaijri wenyewe kuna haki piaaHakuna haki inayotendeka gizani.
Kupitia PSRS huwa tunaona kila kitu kutangazwa public na kubaki kufurahia fulani kachomoka, fulani kakwama.
Gizani kuna mengi tusiyoyajua, tusijidanganye kuwa haki inatendeka.
Sawa mkuuSio watu wote wametendewa haki huko psrs so binafsi am supporting taasisi zaijri wenyewe kuna haki piaa
Mm nakuunga mkono unachokisemaHakuna haki inayotendeka gizani.
Kupitia PSRS huwa tunaona kila kitu kutangazwa public na kubaki kufurahia fulani kachomoka, fulani kakwama.
Gizani kuna mengi tusiyoyajua, tusijidanganye kuwa haki inatendeka.
Kumbe Hadi huko naskiaga hamna Connection et kumbe madudu Tu!Huko BOT ndio Balaa
Written ilifanyika unaandika jina lako badala ya namba🥹
yale mambo ya NSSF ndio unayo yataka. kuna taasisi hata tangazo la kazi hautaliona utashangaa watu wamepata kazi kimya kimya. kwa kweli mimi sijapata kazi bado ila nipo upande wa UTUMISHISio watu wote wametendewa haki huko psrs so binafsi am supporting taasisi zaijri wenyewe kuna haki piaa
Psrs miyeyusho mwanangu ,yaani imagine wale wa TRA washaitwa kazini sisi bado ,wakati sisi tumefanya interview muda mrefu umepita aiseejaman hilo pdf vp..
🤣 🤣 🤣 ni vituko mie nshazoea.Psrs miyeyusho mwanangu ,yaani imagine wale wa TRA washaitwa kazini sisi bado ,wakati sisi tumefanya interview muda mrefu umepita aisee
Wtf is going on ?
Tulieni Kila Mtu atapata Kazi ,.....Psrs miyeyusho mwanangu ,yaani imagine wale wa TRA washaitwa kazini sisi bado ,wakati sisi tumefanya interview muda mrefu umepita aisee
Wtf is going on ?
kwahiyo jamaa atakua kakandwa.mbona alikua anaulizia ishu za practical..?innojembe Nimekuita Tangia Mchana unaingia unasoma Hujibu, Mdogo wangu ukipona Maumivu ya kukandwa.... Uje hapa jukwaani nikuambie Sababu zipi zilizonifanya Nikuone unaenda Kukandwa na sekretariet ya UTUmishi wa umma 🤣🤣, ..... Mimi nina kipawa cha kumsoma mtu , Jeshini Ukifika Tu kitu cha kwanza kuwa trainned ni UTULIVU boss ... innojembe Pole sana... Kuna watu humu walikuwa wanakupa maelekezo ila ukatuona sisi hatujui
leo vp..?Alafu kikubwa ni subra, Sasa wakuu kama wewe Tayari ushafanya Oral na subra inakuwa ngumu hivyo....
Yule ambaye hana hata Received afanyaje???...
Nyie Tulieni;- nawahaadi humu, before chrismass kuna shuhuda zitakuja humu si chini ya watu 10...
11--23 Kwenye range ya hizo tarehe 11pka 23) wale wa MDA & LGA wengi watachomokea hapo .
Kuna keka la kibane lipo jikoni, hilo keka ndio PSPRS wataenda kuchukulia sifa... Huu mwaka wadau hauishiiii
kwahiyo jamaa atakua kakandwa.mbona alikua anaulizia ishu za practical..?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kukandwa sikia tu hii ktu inauma sana..innojembe Nimekuita Tangia Mchana unaingia unasoma Hujibu, Mdogo wangu ukipona Maumivu ya kukandwa.... Uje hapa jukwaani nikuambie Sababu zipi zilizonifanya Nikuone unaenda Kukandwa na sekretariet ya UTUmishi wa umma [emoji1787][emoji1787], ..... Mimi nina kipawa cha kumsoma mtu , Jeshini Ukifika Tu kitu cha kwanza kuwa trainned ni UTULIVU boss ... innojembe Pole sana... Kuna watu humu walikuwa wanakupa maelekezo ila ukatuona sisi hatujui