Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hawawezi kuweka watu wa magumashi pekee. Huwa wanamix kidogo ili wapate watetezi. Wanaweza kupiga ratio ya 4:6. Yaani wa 4 magumashi wa 2 kihalali. Ndio maana wamekua wazito kutoa pdf. Watu tuna pdf hadi za call for interview tutaanza kurencocile huko kama hao waliopata wamefanya written? Tutarudi kwenye pdf ya oral kureconcile mpaka tujue haki imefanyika au la? ndio maana wanaogopa kutoa pdf
Kwenye Oral kuelewa ni ngumu sana watu wangapi wameingizwa kama wamepiga written..
Yote hayo tunasema kila mtu anabahati yake...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna haki inayotendeka gizani.

Kupitia PSRS huwa tunaona kila kitu kutangazwa public na kubaki kufurahia fulani kachomoka, fulani kakwama.

Gizani kuna mengi tusiyoyajua, tusijidanganye kuwa haki inatendeka.
Sio watu wote wametendewa haki huko psrs so binafsi am supporting taasisi zaijri wenyewe kuna haki piaa
 
innojembe Nimekuita Tangia Mchana unaingia unasoma Hujibu, Mdogo wangu ukipona Maumivu ya kukandwa.... Uje hapa jukwaani nikuambie Sababu zipi zilizonifanya Nikuone unaenda Kukandwa na sekretariet ya UTUmishi wa umma 🤣🤣, ..... Mimi nina kipawa cha kumsoma mtu , Jeshini Ukifika Tu kitu cha kwanza kuwa trainned ni UTULIVU boss ... innojembe Pole sana... Kuna watu humu walikuwa wanakupa maelekezo ila ukatuona sisi hatujui
 
kwahiyo jamaa atakua kakandwa.mbona alikua anaulizia ishu za practical..?
 
Alafu kikubwa ni subra, Sasa wakuu kama wewe Tayari ushafanya Oral na subra inakuwa ngumu hivyo....

Yule ambaye hana hata Received afanyaje???...

Nyie Tulieni;- nawahaadi humu, before chrismass kuna shuhuda zitakuja humu si chini ya watu 10...

11--23 Kwenye range ya hizo tarehe 11pka 23) wale wa MDA & LGA wengi watachomokea hapo .

Kuna keka la kibane lipo jikoni, hilo keka ndio PSPRS wataenda kuchukulia sifa... Huu mwaka wadau hauishiiii
 
leo vp..?
 
Kakadwa Ndio, yani alikuwa written hajapita anaulizia Practical.... Ww umeitwa tu interview unawaambia ukoo mzima ,mademu zako na ma Ex... 🤣🤣 Ushaanza tamani Bmw ×5. Hiyo call for imtervew tu... Nikamfata inbox nikamwambia bwa mdogo watu hawendi hivyoooo.... Akanijibu brother tulia , sijui nini na nini... Nikamwambia siku laaani ila nimewaona wenzako kama wewee na hakuna aliyetoboa
kwahiyo jamaa atakua kakandwa.mbona alikua anaulizia ishu za practical..?
 
innojembe Nimekuita Tangia Mchana unaingia unasoma Hujibu, Mdogo wangu ukipona Maumivu ya kukandwa.... Uje hapa jukwaani nikuambie Sababu zipi zilizonifanya Nikuone unaenda Kukandwa na sekretariet ya UTUmishi wa umma [emoji1787][emoji1787], ..... Mimi nina kipawa cha kumsoma mtu , Jeshini Ukifika Tu kitu cha kwanza kuwa trainned ni UTULIVU boss ... innojembe Pole sana... Kuna watu humu walikuwa wanakupa maelekezo ila ukatuona sisi hatujui
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kukandwa sikia tu hii ktu inauma sana..

Na ukute mtu ameenda na expectations kubwaa..
 
Back
Top Bottom