Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

IT wetu mwingine wa mchongo innojembe hataki kutoa ushirikiano sjui kimemkuta kitu gan..??
🤣🤣 innojembe hakuamini alipoona Not selected na home kawaambia anaenda pata kazi serikalini ....Nyieee .... Na akipiga hesabu za haraka haraka Mpka zitangazwe tena ni Mwakani mwezi wa 3 kuitwa mwezi wa 9 🤣🤣
 
Sawa,
Mkuu ntafanya hivyo.
 
Nakubali
 
[emoji1787][emoji1787] innojembe hakuamini alipoona Not selected na home kawaambia anaenda pata kazi serikalini ....Nyieee .... Na akipiga hesabu za haraka haraka Mpka zitangazwe tena ni Mwakani mwezi wa 3 kuitwa mwezi wa 9 [emoji1787][emoji1787]
Jamaa hawezi kurudi tena overconfidence imemuumbua huyu mwamba.
 
Ila mm nakuona kama muongo muongo Fulani sijui kwanini roho yangu imegoma kukiamini.
 
Wakuu naombeni kwanza tumpumzishe huyu Mkuu wetu INNOJEMBE.
Ni kweli huenda hajafanikiwa kuvuka kwenda hatua nyingine ya usaili lakini namna tunavyomzungumza hapa hata Kama ni jokes lakin Nadhani maumivu ya NOT SELECETED Kila aliyepitia anayajua. Naamini pia imeshajifunza tayari.
Asanten!!!.
 
Ila mm nakuona kama muongo muongo Fulani sijui kwanini roho yangu imegoma kukiamini.
Sheikh Hata Mungu Kuna watu hawamuamini kama yupo, Sembuse Mimi Kiumbe dhaifu na zariri kabisa niaminiwe na kila mtu sheikh wangu???
Ipo hivi, Kuna shuhuda humu Soon , wewe usiamini ila watu wanachomoka Database na hamna mtu wanayejuana nae. Na chonde chonde Kwenye dua zako omba upate asali kabla samia hajatoka kwa kiti maana anayekuja kama sio raisi Muislam basi kazi mnayo. Utawala wote wa kiislam Mambo huwa Afueni...

Mwinyi.
Kikwete.
Samia.
 
Kkbwa Wana tusikate tamaa...

Mambo mazr yanakuja
 
Wewe ulikuwa mkorofi! Reaction ya Mr. Kenedy ilikuwaje alijibu
 
Mzee ITpersonel nimekuchek DM kaka hujanijib mkuu
 
[emoji1787][emoji1787] innojembe hakuamini alipoona Not selected na home kawaambia anaenda pata kazi serikalini ....Nyieee .... Na akipiga hesabu za haraka haraka Mpka zitangazwe tena ni Mwakani mwezi wa 3 kuitwa mwezi wa 9 [emoji1787][emoji1787]

Sina mengi ya kusema zaidi ya kusema kauli zako zilinichagiza nipambane[emoji23][emoji23][emoji1488][emoji1488][emoji419]
 

Soon ntakuja na screenshot ya selected for oral[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…