Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ni kweli nakumbuka wakati natafuta kazi kwa nguvu sana miaka hiyo nlishawah kutumia email ya kuwa nimefeli interview ilhali sikuitwa hata kwenye hiyo interview nilishangaa sana, kumbe hr aliambiwa atuite ye akaita watu wake alafu kwenye kutuma email ya kufeli interview na sisi tukatumiwa kwamba interview tuliohudhuria hatujafaulu kuendelea na mchakato, ni maaajabu lakini ni Tanzania na haya mambo yanatokea,
 
Vijana niliwaambia kuwa taasisi kuajiri wenyewe kama wewe ni mtoto wa mkulima jembe la mkono utasubiri sana. TRA kiko wapi?
Watu wameitwa kwa email kuripoti leo kimya kimya. Interview wameitwa kwa pdf, practical kwa pdf, oral kwa pdf, placement kwa EMAIL.
Madogo walioingia top ten written na Practical hawajapata EMAIL inamaana walifeli Oral? Hahahaaa!
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki PSRS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…