innojembe
Senior Member
- Mar 20, 2023
- 186
- 403
Huyo innojembe Fundi AC ...aisee utumishi nimewashangaa Sana... Yani watu wameenda kufanya usaili 17 .... Then wote wamefauru .....
Paper hawakuanza written wameanza na practical ..Mtu wa kwanza Ana 95... Inno ana 6 na plus...thh utumishi wamewachukua wote kwenda Oral...
Sasa hapo kitechnical unajua kabisa ka fail... [emoji1787]....
Pia kuna swala jengine utumishi wanalifanyia kazi.
Scenario; mfano.
Kada ya Cdo/ Afisa mifugo/ mhasibu etc.
Mtahiniwa A written ana 90.
Mtahiniwa B written ana 56.
Oral :
Mtahiniwa A na 57.
Mtahiniwa B ana 60.
Hapa kwa sheria za sasa hivi mtahiniwa B atapata kazi c kafauru Oral . But ukiangalia scenario unaona kabisa Mtu mwenye uwezo hapo ni nani.
So tulipendekeza utumishi majibu ya Writen na oral ...yajumlishwe utafute wastani.... Cz yote ni part ya usahili...
Kuangalia Oral tu , sasa kufanya written ilikuwa na namna gani.
[emoji23][emoji23][emoji23]MFA MAJI kadandia kipande cha gogo sasa
We Mimi uniwezi [emoji847] endelea kubabia izo pdf za placement vita na mimi ni ngumu,USISHINDANE NA ALIENAMUNGU
#IT_unaleft_lini!?