Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu kabla Hatujakata Tamaa ,Tambueni Tayari Mikeka Ipo Yani Mikeka Ipo imeandaliwa tayari ( shuhuda zipo mtu anaenda kufata barua ya kazi anakuta ilishasainiwa miezi 2 au 1 nyuma) so imagine umekata Tamaa umechukua Maamuzi Magumu thn jina linatoka....

Najua ndio mnadaiwa kodi, Madeni mengi , mnawakimbia mademu cz hela hamna... mnaonekana elimu haijawasaidia Etc....

Ila niwaambie Tu hakuna hali itakayodumu Milele....

Hata maumivu yakizidi kiasi gani, Usichukue maamuzi magumu ya kuathiri kesho yako.... Wakuu Msi cash out Huu Mkeka Mnakula before December trust Me.....

Hiyo hali unayopitia muda huu na kujihisi hivyo ,sio wewe peke yako wapo wengi tuuu ... ILA hayo maumivu yote yatapona kwa usiku mmoja tuuuuu......kikubwa dua 💪

Don't Quit, Mkeka Unaokuja Una Majina Ya Watu.
 
Ni sehemu ya kuchangamsha uzi tu wala akuna bifu lolote boss[emoji23][emoji23][emoji23]sijajua mwenzangu ila kwangu mm ni taarabu tu zakupamba Pamba pdf zinazokuja 11dec mpaka 23dec
Hayo ndio maneno tusubilie pdf kati ya tarehe 11 na 23
 
we uliwadanganya wenzio wakaweka bando mkeka haukutoka wakaishia kulitumia kuangalia pilau..
 
we uliwadanganya wenzio wakaweka bando mkeka haukutoka wakaishia kulitumia kuangalia pilau..
Mkuu uliwahi labda kutoka online nilisema utatoka before saa 10... IT nafikiri alichungulia humu... Akaja kutoa saa mbili usiku ....Ila ulitoka But kuhusu Tarehe( 11-23 )isipotoka mikeka ya MDA & LGA... mimi nitawaomba radhi ila huo ni uhakika.. Nafikiri hata utumishi wakipita humu watakuwa wanasema huyu Jamaa ka hack system au vipi 🤣🤣 cz ni uhakika Mikeka iliyoshiba Page 5 na kuendelea ..achana na vile vya page moya moya....Yani uhakika wa Asilimia 100
 
Mwenyez Mungu muumba, nakuomba nami jina langu liwepo kwnye pdf hizo..amen
 
Haya na new Adverts zinatoka lini???

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Mkuu New Adverts watu hawazitaki wanasubiria tu zitokee cz zinaumiza yani inatoka leo Dec 9... Mpka kuitwa unatumia almost miezi 3 hadi 4 hadi 5 mda mwengine..

Ila uzuri wa Placement si unaona now saa kumi na dakika 25 za hapa Nzega... Basi unakuta mtu mpka Saa kumi na dkk 45 ni Mtumishi wa Umma tayari 💪.... Yani ukiwa Database suala la kuwa mtumishi wa Umma ni kufumba na kufumbua.
 
Wewe jamaa ni mshauri nasaha mzuri sana, much blessings
 
Wewe jamaa ni mshauri nasaha mzuri sana, much blessings
Asante Boss...kama upo database balance bundle kuanzia tarehe 11... Yani kila ukiingia Kituuuu , Kuna keka la majina 200... yani Pdf ina MB kama 5 hivi... Yani ukili download lile unaenda tafuta sehemu nzuriiiii unanua na pepsi baridi... Unakaa sasa unatulia unatafuta jina lako
 
Wale wenye miezi Mingi mingi, 6,7 8 9.... Tangia mmefanya Oral wakuu Kaeni Seat ya Mbele.... Upande wa Dereva...

Yani ukijiona tayari umekataaa tamaa mkuu kakate Ticket ya Dodoma kabisa ,ujue umo....

Cz ndio kawaida ya shetani akiona huyu amekaribia kutoboa anakuzofisha yani anakukata kauli hata nguvu ya kusali na kuomba inaondoka....Mkuu kakate ticket ya dodoma ya Next week.
 
we subiri matokeo yatoke ndio tukate ticket tukikandwa je...
 
Yani Msikose Bundle kuanzia J.3 Ni bandika Bandua....[emoji1787][emoji1787] Ila ule mkeka wa majina 200 wakiuachia wote tutauana humu [emoji1787][emoji1787]
Siwezi kukosa bando kikubwa naomba uzima nishuhudie ilo li pdf la watu 200+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…