ANoblePerson
JF-Expert Member
- Sep 30, 2023
- 466
- 701
Daaaaah Ila UTUMISHI bhana. Unaweza ukawa unajibu afu wanakuangalia tukwa yale majibu sidhani aisee.alafu ilikua kitambo itakua nilifeli
Unavoshusha pumba zako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaaaah Ila UTUMISHI bhana. Unaweza ukawa unajibu afu wanakuangalia tukwa yale majibu sidhani aisee.alafu ilikua kitambo itakua nilifeli
Ama hakukuwa na haka kautaratibu ka databasekwa yale majibu sidhani aisee.alafu ilikua kitambo itakua nilifeli
😂😂😂🤣 🤣 kama ulikuepo
sidhani kama ulikuepo maana ilikua kama 2020 hiviAma hakukuwa na haka kautaratibu ka database
Huwenda maana naona database Kama imeanza juzi tu 2022sidhani kama ulikuepo maana ilikua kama 2020 hivi
Kada Gani hiyo mkuupaper sio poa[emoji23] watu wamaelaani sana na nauli yenyewe ilivyo panda ni hasara tu
lab technitian
Nmecheka mwenyew kama mazr[emoji23][emoji23][emoji23]ulikuwaje mkuu? Hivi wakati mwingine mtu unatoka unajua kabisaa hapa nimekandwa eeh. Maana Kuna mwanangu mmoja katoka tu kasafiri zake kwenda Mwanza [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]mie kuna interview walichelewesha matokeo ya oral nikaashum nimekandwa nikapanda zangu basi nikaondoka, basi limefika morogoro naangalia simu naona nimechaguliwa oral ikabidi nigeuze.oral nilijibu upuuzi walinikanda nikajuta bora ningeendelea na safari tu..
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Daaaaah Ila UTUMISHI bhana. Unaweza ukawa unajibu afu wanakuangalia tu
Unavoshusha pumba zako
🤣🤣Hukutoboa, Database ipo toka kitambo sana.......sidhani kama ulikuepo maana ilikua kama 2020 hivi
Huyu Mwamba aliyepiga 20 ana mkosi gani pekee yake ndio kashindwa kutoboa.......asee kuna waliowahi kupiga pepa la mansor and bricklaying vocational teacher VETA , watupe hints za maswali ya written.
kuna hawa nimeona wameitwa usaili wa vitendo
View attachment 2837501
Alikula 19.8😂😂🤣🤣Hukutoboa, Database ipo toka kitambo sana.......
Jini mkata marks alimtembeleaHuyu Mwamba aliyepiga 20 ana mkosi gani pekee yake ndio kashindwa kutoboa.......
........🤣🤣🤣Sema psrs wangekuwa wanaweka wazi maksi alizopata mtu.Alikula 19.8😂😂
Unatupa moyo mkuu shukrani, Mungu atusaidie jobless wote tufikiweYani Msikose Bundle kuanzia J.3 Ni bandika Bandua....[emoji1787][emoji1787] Ila ule mkeka wa majina 200 wakiuachia wote tutauana humu [emoji1787][emoji1787]
😂😂😂 Kivumbi........🤣🤣🤣Sema psrs wangekuwa wanaweka wazi maksi alizopata mtu.
mwingine anajipa matumaini yupo database kumbe alipiga zake 15 huko.
Nami nawaza sana mtu unajuaje kama upo database au ndo kujipa moyo tu kuwa nitakuwepo.au mambo ya selected for oral inakupa moyo kuwa upo database.?[emoji23][emoji23][emoji23] Kivumbi
Yaan hapa nikuhesabu idadi ya waliopata placement kwenye kada yakoNami nawaza sana mtu unajuaje kama upo database au ndo kujipa moyo tu kuwa nitakuwepo.au mambo ya selected for oral inakupa moyo kuwa upo database.?
Kuna kitu nimenote, vijana wa TEHAMA wanachagua kazi za kuomba. Ukiangalia idadi ya vijana wa Tehama waliofanya interview TRA ni kubwa 800+ na waliofanya LGA/MDA juzi mwezi November hawazidi 40.Mkuu nilisema pdf za MDA & LGA watu wawe na subira from tarehe 11... Sasa basi si kuna watu wengi wamefanya interview Taasisi tofauti kama sina za ndani nina hakika Gani zitoke za MDA na sio taasisi nyengine?? ... Na watu wa Tehama mjiandae mtatoka wengiiii kwenye kila pdf lazima muwemo bandika bandua ... Kuanzia 11-23