Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

mie kuna interview walichelewesha matokeo ya oral nikaashum nimekandwa nikapanda zangu basi nikaondoka, basi limefika morogoro naangalia simu naona nimechaguliwa oral ikabidi nigeuze.oral nilijibu upuuzi walinikanda nikajuta bora ningeendelea na safari tu..
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
 
Nami nawaza sana mtu unajuaje kama upo database au ndo kujipa moyo tu kuwa nitakuwepo.au mambo ya selected for oral inakupa moyo kuwa upo database.?
Yaan hapa nikuhesabu idadi ya waliopata placement kwenye kada yako
Ikifika hadi mwaka umeisha hujaitwa Basi kwisha habari
 
Mkuu nilisema pdf za MDA & LGA watu wawe na subira from tarehe 11... Sasa basi si kuna watu wengi wamefanya interview Taasisi tofauti kama sina za ndani nina hakika Gani zitoke za MDA na sio taasisi nyengine?? ... Na watu wa Tehama mjiandae mtatoka wengiiii kwenye kila pdf lazima muwemo bandika bandua ... Kuanzia 11-23
Kuna kitu nimenote, vijana wa TEHAMA wanachagua kazi za kuomba. Ukiangalia idadi ya vijana wa Tehama waliofanya interview TRA ni kubwa 800+ na waliofanya LGA/MDA juzi mwezi November hawazidi 40.
 
Back
Top Bottom