Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

UTUMISHI @sekretariet ya ajira . Mnamazuri mengi sana ... Tena millenium ila hili Kuchelewesha placement ... kiukweli mnaua nguvu kazi ya Taifa ....Vijana wanapata torture kwenye Ubongo, yani akiamka asubuhi anakazi ya kusema labda leo....mtu ana miezi sita (6) anasubiria Mkeka 😭😭😭....it real pain
hayo mautumishi ni machoko aisee...
 
daaah kwenye written nilikuwa wa mwisho kuitwa kama selected. kati ya watu 8....nikaingia kwenye oral na saiv nmeandikiwa selected for oral kwenye both app na website sijui ntatoboa ??...maana nawaza kama wakijumlisha na za written ntachinjiwa baharini
 
Usiwaze mkuu hawajumlishi chochote, kama Umefanya vizuri Oral subiria asali tu
 
Hakuna shuhuda humu Email za TRA walizokuwa wanapost wasailiwa kuhusu kuaza training Ni kwel Ijumaa waliaza.......
Tuache kurefresh email kila mara
 
  • Thanks
Reactions: jb_
Back
Top Bottom