Hiyo ya pili kutoka chini kuna jamaa yangu yupo huko anasema mambo sio haba.Wataalamu wa mambo hivi
Kwenye zile taasisi za wizara ya kilimo ni ipi scale zake zipo vizuri?
View attachment 2837562
Hizo taasisi nyingine sina details
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ya pili kutoka chini kuna jamaa yangu yupo huko anasema mambo sio haba.Wataalamu wa mambo hivi
Kwenye zile taasisi za wizara ya kilimo ni ipi scale zake zipo vizuri?
View attachment 2837562
kuna jamaa angu tumesoma nae mambo ya tehama yeye anafanyaga interview za eGa tu. ila sisi wengine hatuchagui kutokana na maisha yetu tunayoishi tunahitaji kazi sehem yoyote ile ili maisha yaendeKuna kitu nimenote, vijana wa TEHAMA wanachagua kazi za kuomba. Ukiangalia idadi ya vijana wa Tehama waliofanya interview TRA ni kubwa 800+ na waliofanya LGA/MDA juzi mwezi November hawazidi 40.
Hapana Mkuu ujue IT ina vitengo kama 5 hivi na zaidiKuna kitu nimenote, vijana wa TEHAMA wanachagua kazi za kuomba. Ukiangalia idadi ya vijana wa Tehama waliofanya interview TRA ni kubwa 800+ na waliofanya LGA/MDA juzi mwezi November hawazidi 40.
Ndo wawahishe placement Sasa maana hizi ndiyo miongoni mwa changamoto zinazowakosesha credit hao UTUMISHIHapana Mkuu ujue IT ina vitengo kama 5 hivi na zaidi
1. System administrator.
2. System analysitst.
3. Sytem Security.
4.Networking
5. Database administrator.....
So mtu mwenye bachelor ya IT au computer science anaomba nafasi yoyote hapo.
So hiyo factor ina affect idadi ya wasaili....Mfano watu wa security hawawagi wengi, wengi wanakuwaga Networking ....Pia ukifatilia trend now muamko wa watu kwenda kufanya usaili UTUMISHI umeshuka, kwa sababu ya kuchelewesha placement ...wengi wanaombaga ila unakuta wanatokea wachache .
Hamna interview 😂😂 atupie PDF watu walete shuhudaWAKUU ZA ASUBUHI, LEO NI J.PILI ILA YULE IT WA PDF NIMEAMBIWA KAINGIA KAZINI NA SIO KAWAIDA YAKE LEO KUINGIA .....SO NAOMBA KUULIZA KUNA RATIBA YA INTERVIEW NYINGINE LEO???
Kwa uzoefu wangu mdogo taasisi nyingi entrace level scale zao zinacheza 1.2-1.5M kwa graduate ukiondoa zile giant eGA, TCRA, TRA, TPDC, TMA, CSMA, TASAC, NIMR, TBS hawa wanaogeleaWataalamu wa mambo hivi
Kwenye zile taasisi za wizara ya kilimo ni ipi scale zake zipo vizuri?
View attachment 2837562
Huko NIMR, kumbe pamoto SanaKwa uzoefu wangu mdogo taasisi nyingi entrace level scale zao zinacheza 1.2-1.5M kwa graduate ukiondoa zile giant eGA, TCRA, TRA, TPDC, TMA, CSMA, TASAC, NIMR, TBS hawa wanaogelea
Naomba hili bandiko lichukuliwe libandikwe kwenye nguzo zote za umeme barabarani, na vyuoni kote na pale Dkt. Asha Rose Migiro BuildingHili suala la kuchelewesha kuita watu placement, kama ingekuwa ulaya wenzetu wanajielewa wangeweza kuji organise vizuri....watu wakasusia interview. Ila Bongo njaaa mtu anaona kususa kwako interview kwake ni fursa...
Yani wanatakiwa siku wanaenda venue, watu wote wanagoma kuingia theater au hawatokei kabisa...hapo mshawapanga watu wa Media camera kama zote....
Mnawaambia hawa watu sisi wanatusaidia sana, na hatutaki wajitoe kwenye kusimamia usaili ila tunataka utata wa kuitwa kazini ukome.... Mwezi mmoja inatosha mtu kuitwa kazini badara ya oral.
.Cz kuchelewa kumuita mtu kazini, ni kumtengenezea uraibu mbaya wa kuweka bundle kila baada ya siku kadhaaa ili kuangalia update . ....
so through that means hope ujumbe ungefika kwa wakuu na wangeona changamoto hiyo na kuona wanawaongezea vipi utumishi majukumu.
Wakuu kuweka bundle kila siku na kwenda kurefresh page ya Utumishi kucheck Placement wewe ni mgonjwa wa uraibu kama mgonjwa mwengine wa uraibu wa drugs ..... Kwa siku unaingia page ya utumishi 50 times... UTUMISHI MNAWASABABISHIA VIJANA UTINDIO WA UBONGO.
Tena hao watu wa research safari kila siku yaani maproject kama yote malaria, tb, chanjo yani vurugu tupu. Ukipata huko nenda kaombe misa ya shukraniHuko NIMR, kumbe pamoto Sana
Mkuu graduate ambaye ni Research Assistant anafika ngapi asee
Very soon anamwaga PDF [emoji23][emoji23]WAKUU ZA ASUBUHI, LEO NI J.PILI ILA YULE IT WA PDF NIMEAMBIWA KAINGIA KAZINI NA SIO KAWAIDA YAKE LEO KUINGIA .....SO NAOMBA KUULIZA KUNA RATIBA YA INTERVIEW NYINGINE LEO???
Kupata Sasa ndiyo kipengele.Tena hao watu wa research safari kila siku yaani maproject kama yote malaria, tb, chanjo yani vurugu tupu. Ukipata huko nenda kaombe misa ya shukrani
Nimeona pia Mobile application developer. Sasa huyu Halmashauri anaenda kufanya nini?Hapana Mkuu ujue IT ina vitengo kama 5 hivi na zaidi
1. System administrator.
2. System analysitst.
3. Sytem Security.
4.Networking
5. Database administrator.....
So mtu mwenye bachelor ya IT au computer science anaomba nafasi yoyote hapo.
So hiyo factor ina affect idadi ya wasaili....Mfano watu wa security hawawagi wengi, wengi wanakuwaga Networking ....Pia ukifatilia trend now muamko wa watu kwenda kufanya usaili UTUMISHI umeshuka, kwa sababu ya kuchelewesha placement ...wengi wanaombaga ila unakuta wanatokea wachache .
Kazi za research sasa hivi wameweka kigezo cha GPA kama Tutorial Assisstant bila Upper second huwezi kuwa Research Fellow na ndio maana hata Scale za watu wa research ziko juu. Wote mnaweza kuajiriwa taasisi moja na wote mna degree ila Researcher atakuzidiHuko NIMR, kumbe pamoto Sana
Mkuu graduate ambaye ni Research Assistant anafika ngapi asee
Kwani sindyo GPA 3.8+ au wamepandisha tenaKazi za research sasa hivi wameweka kigezo cha GPA kama Tutorial Assisstant bila Upper second huwezi kuwa Research Fellow na ndio maana hata Scale za watu wa research ziko juu. Wote mnaweza kuajiriwa taasisi moja na wote mna degree ila Researcher atakuzidi
Kipengele kwa sababu sio wengi. Mfano NIMR wana maabara/vituo nafikiri saba/nane nchi nzima. Hapo usitegemee wataajiri kila mwaka kama halmashauriKupata Sasa ndiyo kipengele.
Tupambanie tu izi za TGHS au TGS
YesKwani sindyo GPA 3.8+ au wamepandisha tena