Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Leo Ndio ile tarehe 11 wakuu, Pdf zinaanza kutoka...

Muda wa Pdf ni Around kuanzia saa Saa 8 Mchana hadi saa 1 usiku.

Muda wowote kuna pdf itaachiwa hapo.

So kama una data za kuunga zima, Uwashe mida ya saa 10 hivi jioni.. au saa 11 jioni.

Nb: Sina Idadi kamili ya watu but 45 +.
Taasisi: Asali wa nyuki wadogo ndio nyingi...
 
unamwambia inno jembe au ni wote.. 🤣 🤣
 
Hii kada ya katibu kamati si walitoa nafasi 10. Naona oral tu wameingia watu 100+ .
Hapa naona kuna watu wanaenda kukaa database .
Alaf hawa wa data base ndio huwa wanaenda taasisi kubwa na zuri . Kuliko hao wa halmashauri.
 
Oral tu watu wameingia 100+ , inaonekana written ilikuwa nyepesi sana aisee.
Kwanza ana marks 90+
 
Wewe ni muongo Dk alipwe million 5 huyo Dr wa nini ?

Hakuna mtu anayeweza kulipwa million 5 anaenda serikali
Hahaaa,

Usibishie sana kitu kama hujui kitu na huna uhakika nacho, kuna Drs na wataalamu wengi sana huko mashirikani wanalipwa 5M mpaka 10M.

Things ain't the same to everyone everywhere.
 
Mashirika gani hayo?
 
Hii kada ya katibu kamati si walitoa nafasi 10. Naona oral tu wameingia watu 100+ .
Hapa naona kuna watu wanaenda kukaa database .
Alaf hawa wa data base ndio huwa wanaenda taasisi kubwa na zuri . Kuliko hao wa halmashauri
Database Kuna muda inakuwa Kama inakabahati ivi, japo mtu anachelewa kupata kazi lakin Mara nyingi akitokea database ni kwenda kwenye mitaasisi tu
 
Leo Ndio ile tarehe 11 wakuu, Pdf zinaanza kutoka...

Muda wa Pdf ni Around kuanzia saa Saa 8 Mchana hadi saa 1 usiku.

Muda wowote kuna pdf itaachiwa hapo.

So kama una data za kuunga zima, Uwashe mida ya saa 10 hivi jioni.. au saa 11 jioni.

Nb: Sina Idadi kamili ya watu but 45 +.
Taasisi: Asali wa nyuki wadogo ndio nyingi...
Time Will tell...au tuendelee kusbr
 
Back
Top Bottom