Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yatakuja kutuua na presha maemae zao..hayo mautumishi yote ni machoko.....
unamwambia inno jembe au ni wote.. 🤣 🤣Leo Ndio ile tarehe 11 wakuu, Pdf zinaanza kutoka...
Muda wa Pdf ni Around kuanzia saa Saa 8 Mchana hadi saa 1 usiku.
Muda wowote kuna pdf itaachiwa hapo.
So kama una data za kuunga zima, Uwashe mida ya saa 10 hivi jioni.. au saa 11 jioni.
yatakuja kutuua na presha maemae zao..
Mkuu tuwaache tu naona hakuna haja ya kuwaporomoshea matusiyatakuja kutuua na presha maemae zao..
hapo tukae tukijua kwamba ukitoka mkeka ukakosa jina lako ndo mpaka 2024 iyo.. 🤣 🤣 dahh 🙌Mkuu punguza hasira kwanza 😂😂😂
Aisee mbn mtihaniiiihapo tukae tukijua kwamba ukitoka mkeka ukakosa jina lako ndo mpaka 2024 iyo.. [emoji1787] [emoji1787] dahh [emoji119]
yaani ni shida kwel..Aisee mbn mtihaniiii
Na hatuna Cha kuwafanya😂😂hapo tukae tukijua kwamba ukitoka mkeka ukakosa jina lako ndo mpaka 2024 iyo.. 🤣 🤣 dahh 🙌
Hahaaa,Wewe ni muongo Dk alipwe million 5 huyo Dr wa nini ?
Hakuna mtu anayeweza kulipwa million 5 anaenda serikali
Mashirika gani hayo?Hahaaa,
Usibishie sana kitu kama hujui kitu na huna uhakika nacho, kuna Drs na wataalamu wengi sana huko mashirikani wanalipwa 5M mpaka 10M.
Things ain't the same to everyone everywhere.
Database Kuna muda inakuwa Kama inakabahati ivi, japo mtu anachelewa kupata kazi lakin Mara nyingi akitokea database ni kwenda kwenye mitaasisi tuHii kada ya katibu kamati si walitoa nafasi 10. Naona oral tu wameingia watu 100+ .
Hapa naona kuna watu wanaenda kukaa database .
Alaf hawa wa data base ndio huwa wanaenda taasisi kubwa na zuri . Kuliko hao wa halmashauri
Time Will tell...au tuendelee kusbrLeo Ndio ile tarehe 11 wakuu, Pdf zinaanza kutoka...
Muda wa Pdf ni Around kuanzia saa Saa 8 Mchana hadi saa 1 usiku.
Muda wowote kuna pdf itaachiwa hapo.
So kama una data za kuunga zima, Uwashe mida ya saa 10 hivi jioni.. au saa 11 jioni.
Nb: Sina Idadi kamili ya watu but 45 +.
Taasisi: Asali wa nyuki wadogo ndio nyingi...
Mm kuna watu nmeshudia wakipelekwa vitengo kama ofisi ya CHRGG na TANROADS HQ. Tena kwa kada ambazo nadhan na wao awakutegemea kabisaDatabase Kuna muda inakuwa Kama inakabahati ivi, japo mtu anachelewa kupata kazi lakin Mara nyingi akitokea database ni kwenda kwenye mitaasisi tu