Utumishi wako fair
JF-Expert Member
- Nov 12, 2021
- 429
- 1,340
Wakuu kabla Hatujakata Tamaa ,Tambueni Tayari Mikeka Ipo Yani Mikeka Ipo imeandaliwa tayari ( shuhuda zipo mtu anaenda kufata barua ya kazi anakuta ilishasainiwa miezi 2 au 1 nyuma) so imagine umekata Tamaa umechukua Maamuzi Magumu thn jina linatoka....
Najua ndio mnadaiwa kodi, Madeni mengi , mnawakimbia mademu cz hela hamna... mnaonekana elimu haijawasaidia Etc....
Ila niwaambie Tu hakuna hali itakayodumu Milele....
Hata maumivu yakizidi kiasi gani, Usichukue maamuzi magumu ya kuathiri kesho yako.... Wakuu Msi cash out Huu Mkeka Mnakula before December trust Me.....
Hiyo hali unayopitia muda huu na kujihisi hivyo ,sio wewe peke yako wapo wengi tuuu ... ILA hayo maumivu yote yatapona kwa usiku mmoja tuuuuu......kikubwa dua 💪
Don't Quit, Mkeka Unaokuja Una Majina Ya Watu.