Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Thps, mdh, amref, save the Children, ICAP na mengine mengi.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Hiyo ilikuwa zamani na ni NGO's chache kama Care , Amref ,Icap na Jhpiego ndio baadhi ya top managers ndio walikuwa wanakula kibunda ,lakini hata milioni kumi zilikuwa hazifiki , NGO's zenyewe sasa hivi nyingi zinapumulia mirija , donors wamepunguza funds ,na zingine zimesitisha baadhi ya miradi , nani akulipe milioni 10 ? , managers wachache ndio wanagusa 5-6 ,
Hizo milioni kumi labda kwa wasimamizi wakuu wa miradi (Directors ) ambao kwanza wengi ni hao wazungu (foreign experts ) ndio watakuwa wanagusa humo milioni 10 na kuendelea
Senior Supervisors na employees WA kawaida ni 2.5-3.5 humo
Kwa kazi gani ya ajabu au unique skill gani wakulipe milioni 10 wewe ?
Acheni hizo story za abunuasi kabisa
Kama una mtu yupo Icap au Amref au hata Jahpiego nk ,
Wachimbe kiundani , watakwambia hali halisi .
 
Redcross Africa pia kulikuwa na vibunda ila sio zama hizi
 
Hapo Jhpiego pazuri sana kuna mwana alipata contract ya miaka 3 tu ila alifanya maendeleo sana. Safari za Songwe kila kukicha kwa ndege posho zakumwagika
 
Ila kuna kampuni braza Regional Managers, General Managers wanaondoka na hizo 5, 10, 15M.
 
.........Dakika ya 81 Ubao wa matokeo ni bilabila.

Jobless wanasubiri dakika 9 zilizobaki huenda IT akafanya maajabu kwa siku ya leo.
 
hayo mautumishi yote ni machoko.....
PSRS kuna placement walitoa mwezi wa 10. Watu wakaenda kuripoti kwa mwajiri wakakabidhi copies za vyeti wakaambiwa warudi watapigiwa simu. Hadi leo bado hawajaanza kazi miezi 2 sasa. Hapo utalaumu Utumishi?
 
Sasa ushapata kazi unataka kulaumu kitu gani tena.

Wakimaliza process zao watakuita muda wowote wanaotaka wao.
 
PSRS kuna placement walitoa mwezi wa 10. Watu wakaenda kuripoti kwa mwajiri wakakabidhi copies za vyeti wakaambiwa warudi watapigiwa simu. Hadi leo bado hawajaanza kazi miezi 2 sasa. Hapo utalaumu Utumishi?
Lakin siwalishaingizwa kwenye payroll?
 
Kuna ambaye aliomba hizi za halmashauri ya GEITA wakuuu mradi wa ukimwi na kifua kikuu??????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…