Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 12,454
- 11,029
Au Nafasi zitakuwa zimeongezeka......Oral tu watu wameingia 100+ , inaonekana written ilikuwa nyepesi sana aisee.
Kwanza ana marks 90+
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au Nafasi zitakuwa zimeongezeka......Oral tu watu wameingia 100+ , inaonekana written ilikuwa nyepesi sana aisee.
Kwanza ana marks 90+
Thps, mdh, amref, save the Children, ICAP na mengine mengi.Mashirika gani hayo?
Hiyo ilikuwa zamani na ni NGO's chache kama Care , Amref ,Icap na Jhpiego ndio baadhi ya top managers ndio walikuwa wanakula kibunda ,lakini hata milioni kumi zilikuwa hazifiki , NGO's zenyewe sasa hivi nyingi zinapumulia mirija , donors wamepunguza funds ,na zingine zimesitisha baadhi ya miradi , nani akulipe milioni 10 ? , managers wachache ndio wanagusa 5-6 ,Thps, mdh, amref, save the Children, ICAP na mengine mengi.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Redcross Africa pia kulikuwa na vibunda ila sio zama hiziHiyo ilikuwa zamani na ni NGO's chache kama Care , Amref ,Icap na Jhpiego ndio baadhi ya top managers ndio walikuwa wanakula kibunda ,lakini hata milioni kumi zilikuwa hazifiki , NGO's zenyewe sasa hivi nyingi zinapumulia mirija , donors wamepunguza funds ,na zingine zimesitisha baadhi ya miradi , nani akulipe milioni 10 ? , Wengi top managers wanagusa 5-6 ,
Senior Supervisors na employees WA kawaida ni 2.5-3.5 humo
Kwa kazi gani ya ajabu au unique skill gani ?
Acheni hizo story za abunuasi kabisa
Kama una mtu yupo Icap au Amref au hata Jahpiego nk ,
Wachimbe kiundani , watakwambia hali halisi .
Hapo Jhpiego pazuri sana kuna mwana alipata contract ya miaka 3 tu ila alifanya maendeleo sana. Safari za Songwe kila kukicha kwa ndege posho zakumwagikaHiyo ilikuwa zamani na ni NGO's chache kama Care , Amref ,Icap na Jhpiego ndio baadhi ya top managers ndio walikuwa wanakula kibunda ,lakini hata milioni kumi zilikuwa hazifiki , NGO's zenyewe sasa hivi nyingi zinapumulia mirija , donors wamepunguza funds ,na zingine zimesitisha baadhi ya miradi , nani akulipe milioni 10 ? , managers wachache ndio wanagusa 5-6 ,
Hizo milioni kumi labda kwa wasimamizi wakuu wa miradi (Directors ) ambao kwanza wengi ni hao wazungu (foreign experts ) ndio watakuwa wanagusa humo milioni 10 na kuendelea
Senior Supervisors na employees WA kawaida ni 2.5-3.5 humo
Kwa kazi gani ya ajabu au unique skill gani wakulipe milioni 10 wewe ?
Acheni hizo story za abunuasi kabisa
Kama una mtu yupo Icap au Amref au hata Jahpiego nk ,
Wachimbe kiundani , watakwambia hali halisi .
Ila kuna kampuni braza Regional Managers, General Managers wanaondoka na hizo 5, 10, 15M.Hiyo ilikuwa zamani na ni NGO's chache kama Care , Amref ,Icap na Jhpiego ndio baadhi ya top managers ndio walikuwa wanakula kibunda ,lakini hata milioni kumi zilikuwa hazifiki , NGO's zenyewe sasa hivi nyingi zinapumulia mirija , donors wamepunguza funds ,na zingine zimesitisha baadhi ya miradi , nani akulipe milioni 10 ? , managers wachache ndio wanagusa 5-6 ,
Hizo milioni kumi labda kwa wasimamizi wakuu wa miradi (Directors ) ambao kwanza wengi ni hao wazungu (foreign experts ) ndio watakuwa wanagusa humo milioni 10 na kuendelea
Senior Supervisors na employees WA kawaida ni 2.5-3.5 humo
Kwa kazi gani ya ajabu au unique skill gani wakulipe milioni 10 wewe ?
Acheni hizo story za abunuasi kabisa
Kama una mtu yupo Icap au Amref au hata Jahpiego nk ,
Wachimbe kiundani , watakwambia hali halisi .
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji102].........Dakika ya 81 Ubao wa matokeo ni bilabila.
Jobless wanasubiri dakika 9 zilizobaki huenda IT akafanya maajabu kwa siku ya leo.
PSRS kuna placement walitoa mwezi wa 10. Watu wakaenda kuripoti kwa mwajiri wakakabidhi copies za vyeti wakaambiwa warudi watapigiwa simu. Hadi leo bado hawajaanza kazi miezi 2 sasa. Hapo utalaumu Utumishi?hayo mautumishi yote ni machoko.....
Sasa ushapata kazi unataka kulaumu kitu gani tena.PSRS kuna placement walitoa mwezi wa 10. Watu wakaenda kuripoti kwa mwajiri wakakabidhi copies za vyeti wakaambiwa warudi watapigiwa simu. Hadi leo bado hawajaanza kazi miezi 2 sasa. Hapo utalaumu Utumishi?
Lakin siwalishaingizwa kwenye payroll?PSRS kuna placement walitoa mwezi wa 10. Watu wakaenda kuripoti kwa mwajiri wakakabidhi copies za vyeti wakaambiwa warudi watapigiwa simu. Hadi leo bado hawajaanza kazi miezi 2 sasa. Hapo utalaumu Utumishi?
Ninachotaka kusema hapa wanaochelewesha mchakato wa ajira sio utumishi hapa kuna factors nyingiSasa ushapata kazi unataka kulaumu kitu gani tena.
Wakimaliza process zao watakuita muda wowote wanaotaka wao.
Bado hawapati salaryLakin siwalishaingizwa kwenye payroll?
Hapo ndipo wamekosea aisee, maana walitakiwa waingizwe kwenye payroll ya November kabisaBado hawapati salary
Very true Mkuu!! Kwa kweli hali si shwari.1.48M kabla ya makato.
Kusema ukweli serikali usipofanya biashara au kilimo au kuwa fisadi utastaafu na ndoto zako kichwani.
Soma tena kwa utulivu mkuu! Usisome kama umakimbizwa!Wewe ni muongo Dk alipwe million 5 huyo Dr wa nini ?
Hakuna mtu anayeweza kulipwa million 5 anaenda serikali
Huyo anabisha tu bila msingi wowote.Soma tena kwa utulivu mkuu! Usisome kama umakimbizwa!