BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Imepanda kwa sasa ni 1.53m hiyo mbona nyingi sisi accountant ii tunakula tgs E1.48M kabla ya makato.
Kusema ukweli serikali usipofanya biashara au kilimo au kuwa fisadi utastaafu na ndoto zako kichwani.
Kuna mchakato wa kuhakiki vyeti NECTA, pia kulinganisha taarifa na NIDAHapo ndipo wamekosea aisee, maana walitakiwa waingizwe kwenye payroll ya November kabisa
Ndiyo mamiezi yote hayoKuna mchakato wa kuhakiki vyeti NECTA, pia kulinganisha taarifa na NIDA
Agencies under UN (like WHO, ICEF, IOM, FPA, HCR)Mashirika gani hayo?
Walioko kwenye hizi field ndio wanajua ujazo wa hizi asali.Mashirika gani hayo?
hayo mautumishi yote ni machoko.....
kwa nini uwalaumu si wmeshatoa placement.cha msingi watoe placement au wawajulishe watu kama wamefeli waendelee na mambo mengine.mtu ukishajua umepata kazi hata ukikaa mwaka hamna shida..PSRS kuna placement walitoa mwezi wa 10. Watu wakaenda kuripoti kwa mwajiri wakakabidhi copies za vyeti wakaambiwa warudi watapigiwa simu. Hadi leo bado hawajaanza kazi miezi 2 sasa. Hapo utalaumu Utumishi?
Wakati sisi tunaajiriwa halmashauri 2014, jamaa yangu mmoja tulisoma nae Pugu A level kisha tukawa wote UDSM ila kozi tofauti. Sasa wote tulipata halmashauri ila yeye hakwenda kumbe kuna contract ya Jhpiego. Sisi tukajiona tumepata maisha tumeingia serikalini. Baada ya miaka 3 ya contract yake kajenga nyumba, kanunua na gari ingawa alimvua mtu. Mkataba ulipoisha kakaa mtaani mwaka na miezi kadhaa kadhaa kadaka mkataba shirika jingine. Sasa hivi nyumba ya pili imebaki vioo/aluminium tu kukamilika na gari ile kabadilisha kachukua Rav4 new model mwaka juzi kamaliza Masters ya Project Management. CV inazidi kupanda. Tulioingia halmshauri nyumba zetu zimeishia njiani either kwenye lenta au imepauliwa ila imebaki pango la popo tena tumefika hapo baada ya kukopa sana na kutop up.Huyo anabisha tu bila msingi wowote.
Nakubaliana na hoja yako. Hii imani ya "Job Security" muda mwingine husabaisha majuto sana muhusika asipokua makini katika maamuzi.
Ungekuwa umesomea MD kwa kipindi ulichoajiriwa hadi sasa Ungekuwa mbali sanaWakati sisi tunaajiriwa halmashauri 2014, jamaa yangu mmoja tulisoma nae Pugu A level kisha tukawa wote UDSM ila kozi tofauti. Sasa wote tulipata halmashauri ila yeye hakwenda kumbe kuna contract ya Jhpiego. Sisi tukajiona tumepata maisha tumeingia serikalini. Baada ya miaka 3 ya contract yake kajenga nyumba, kanunua na gari ingawa alimvua mtu. Mkataba ulipoisha kakaa mtaani mwaka na miezi kadhaa kadhaa kadaka mkataba shirika jingine. Sasa hivi nyumba ya pili imebaki vioo/aluminium tu kukamilika na gari ile kabadilisha kachukua Rav4 new model mwaka juzi kamaliza Masters ya Project Management. CV inazidi kupanda. Tulioingia halmshauri nyumba zetu zimeishia njiani either kwenye lenta au imepauliwa ila imebaki pango la popo tena tumefika hapo baada ya kukopa sana na kutop up.
IT shusha PDF watu tuogelee kwenye bahari ya 00
🤣🤣🤣🤣 Tuache kuzinguana jamaniIT ameoneka ofisi za Shabiby Makole akikata tiketi ya kwenda Dsm kesho na kurudi Dom January 05.
..............Jobless uvumilivu unatakiwa.
Hata MD walikutana na MagufuliUngekuwa umesomea MD kwa kipindi ulichoajiriwa hadi sasa Ungekuwa mbali sana
Kwa mtu aliyeanza kazi na degree of medicine mwaka 2014 kwa sasa salary scale yake haipungui 2+m kwa nyie degree za miaka mitatu hata nusu yake hamumfikii MDHata MD walikutana na Magufuli
Mmh! Mmh! Mmh! 🥺😳😳😳