Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

hayo mautumishi yote ni machoko.....

PSRS kuna placement walitoa mwezi wa 10. Watu wakaenda kuripoti kwa mwajiri wakakabidhi copies za vyeti wakaambiwa warudi watapigiwa simu. Hadi leo bado hawajaanza kazi miezi 2 sasa. Hapo utalaumu Utumishi?
kwa nini uwalaumu si wmeshatoa placement.cha msingi watoe placement au wawajulishe watu kama wamefeli waendelee na mambo mengine.mtu ukishajua umepata kazi hata ukikaa mwaka hamna shida..
 
Huyo anabisha tu bila msingi wowote.

Nakubaliana na hoja yako. Hii imani ya "Job Security" muda mwingine husabaisha majuto sana muhusika asipokua makini katika maamuzi.
Wakati sisi tunaajiriwa halmashauri 2014, jamaa yangu mmoja tulisoma nae Pugu A level kisha tukawa wote UDSM ila kozi tofauti. Sasa wote tulipata halmashauri ila yeye hakwenda kumbe kuna contract ya Jhpiego. Sisi tukajiona tumepata maisha tumeingia serikalini. Baada ya miaka 3 ya contract yake kajenga nyumba, kanunua na gari ingawa alimvua mtu. Mkataba ulipoisha kakaa mtaani mwaka na miezi kadhaa kadhaa kadaka mkataba shirika jingine. Sasa hivi nyumba ya pili imebaki vioo/aluminium tu kukamilika na gari ile kabadilisha kachukua Rav4 new model mwaka juzi kamaliza Masters ya Project Management. CV inazidi kupanda. Tulioingia halmshauri nyumba zetu zimeishia njiani either kwenye lenta au imepauliwa ila imebaki pango la popo tena tumefika hapo baada ya kukopa sana na kutop up.
 
Ungekuwa umesomea MD kwa kipindi ulichoajiriwa hadi sasa Ungekuwa mbali sana
 
Screenshot_20231212-104831_Samsung Internet.jpg
 
Back
Top Bottom