Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wanajamvi,

Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
kuna kina sisi tulifanya m.d.a na l.g.a tarehe 8 na 9 november cjui huo mkeka utatoka lini aisee..
 
kuna kina sisi tulifanya m.d.a na l.g.a tarehe 8 na 9 november cjui huo mkeka utatoka lini aisee..
Huyu unayemuuliza alishalamnba asali .
Dah ,hawa wapuuzi sijui lini wanatoa majina aisee tujue moja .
Kenge hawa
 
Yaani kuna watu wakianza kufanyiwa analysis ya miaka tangia tumalize bachelor's degree mpaka sasa , ni muda mtu unakuta kasoma bachelor degree +masters +Phd juu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kwa mtu aliyeanza kazi na degree of medicine mwaka 2014 kwa sasa salary scale yake haipungui 2+m kwa nyie degree za miaka mitatu hata nusu yake hamumfikii MD
Ajira 2014 wamepanda daraja mara moja tu 2021 miaka 7. Sasa tunasubiria daraja la pili. Huyo daktari aliyeanza kazi 2014 kwa 1.48M akipanda mara moja hafiki 2M+ sana sana atakuwa 1.8M
Mkuu mimi nipo kazini kitambo huu uhakiki uliathiri sana watumishi.
 
Yaani kuna watu wakianza kufanyiwa analysis ya miaka tangia tumalize bachelor's degree mpaka sasa , ni muda mtu unakuta kasoma bachelor degree +masters +Phd juu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
kama ni mtoto anakua na anazeeka 🤣 🤣
 
Wanawaita kwa email kwa siri halafu wanawapiga picha. Sasa hapo siri iko wapi?
Sijui walikuwa wanalengo gani...
Bora Utumishi wasafishe Data base yote kwa mwelekeo huu hata huko Iman inapungua...
 
MD kwa Sasa ni 1.53m
Hata Kama ni 1.8m Huyo sio level Yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…