BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Duh kumbe mambo yashaiva
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh kumbe mambo yashaiva
watu washalamba asali ya nyuki wadogo...
🤣 🤣 we ulikua unamzingatia.achana nae uyo anajuana na inno jembe 🤣🤣huyu IT personel sio wa kumzingatia hata kidogo
kuna kina sisi tulifanya m.d.a na l.g.a tarehe 8 na 9 november cjui huo mkeka utatoka lini aisee..Wanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
huo itakua mwaka kesho aiseeekuna kina sisi tulifanya m.d.a na l.g.a tarehe 8 na 9 november cjui huo mkeka utatoka lini aisee..
Huyu unayemuuliza alishalamnba asali .kuna kina sisi tulifanya m.d.a na l.g.a tarehe 8 na 9 november cjui huo mkeka utatoka lini aisee..
Hahaaaa jobless mzoefu upo ?huo itakua mwaka kesho aiseee
ngoja tuwasikilizie huwenda mwezi huu usiish kabla hawajatoa au mwakani mwanzoni watatoa piaHuyu unayemuuliza alishalamnba asali .
Dah ,hawa wapuuzi sijui lini wanatoa majina aisee tujue moja .
Kenge hawa
Ajira 2014 wamepanda daraja mara moja tu 2021 miaka 7. Sasa tunasubiria daraja la pili. Huyo daktari aliyeanza kazi 2014 kwa 1.48M akipanda mara moja hafiki 2M+ sana sana atakuwa 1.8MKwa mtu aliyeanza kazi na degree of medicine mwaka 2014 kwa sasa salary scale yake haipungui 2+m kwa nyie degree za miaka mitatu hata nusu yake hamumfikii MD
Wanawaita kwa email kwa siri halafu wanawapiga picha. Sasa hapo siri iko wapi?
AmenMungu atusimamie asee, ujobless mwisho uwe 2023, mwaka utakapogeuka 2024 mwezi wa 1 tuwe watumishi
kama ni mtoto anakua na anazeeka 🤣 🤣Yaani kuna watu wakianza kufanyiwa analysis ya miaka tangia tumalize bachelor's degree mpaka sasa , ni muda mtu unakuta kasoma bachelor degree +masters +Phd juu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
🤣 🤣 nipo niende wapiHahaaaa jobless mzoefu upo ?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Jobless mwenye experience ya kutosha ,yaani degree + masters na Phd ya ujobless
Maanina
Sijui walikuwa wanalengo gani...Wanawaita kwa email kwa siri halafu wanawapiga picha. Sasa hapo siri iko wapi?
taratibu tutaanza kuelewana, waliokua wanakomaa taasisi ziruhusiwe kuajiri zenyewe watakua wameanza kuelewa.
MD kwa Sasa ni 1.53mAjira 2014 wamepanda daraja mara moja tu 2021 miaka 7. Sasa tunasubiria daraja la pili. Huyo daktari aliyeanza kazi 2014 kwa 1.48M akipanda mara moja hafiki 2M+ sana sana atakuwa 1.8M
Mkuu mimi nipo kazini kitambo huu uhakiki uliathiri sana watumishi.
Mfano huyo mzee aliyeaa suti wa mbele kabisa nae ni mwajiriwa mpya wakati anaonekana kabisa age above 45taratibu tutaanza kuelewana, waliokua wanakomaa taasisi ziruhusiwe kuajiri zenyewe watakua wameanza kuelewa.