El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
mtoa marks akila kama kitamu ndio unalamba asalihivi yule mkandwaji pale web yule kuku baada ya kumpika anamla au iyo ni kazi ya mtoa marks tu. 🤣 🤣
Pole Sana, Endelea kusubiri databaseDah! Kuna hiyo moja nilienda, nilikuwa sijui hata naenda kulala wapi hata nauli ilikuwa ya kuunga.
Wala mm niko private companyvipi mkuu najua umelamba asali ya taasisi zinazoajiri zenyewe
wastaafu wameogelea kwenye bwawa la asali aiseeHongereni vijana mliopata bwawa la asali TRA,
Mkawe watumishi wema . Msijibu ovyo raia. Kwani hào ndio maboss wenu sawa
Very true!Ugomvi tu na ndugu kwamba jamaa kapata kazi serikalini lakini hataki kusaidia familia ila ukiangalia wewe mwenyewe unataka usaidiwe
dah nimecheka kama mazuri yaanutumishi mmenishinda tabia nitumieni hata hela ya bando bas kwa ajili ya kesho
amna kitu kama icho we tulia unaweza ukajibu maswali yote na ukafeli kuliko aliyejibu 4 mbona mie mwenzio nilijibu swali 1 tu la introduction lakin kila saa nachungulia placement na ninauhakika nitatoboa tu..
ndioo🤣🤣🤣 we jamaa upo seriously kweli
🤣 🤣 kwani dalili zake hua ni zipihakuna hata dalili ya placement tusijipe hata matumaini
😂 😂 anazijua innojembe na jamaa ake🤣 🤣 kwani dalili zake hua ni zipi
🤣🤣🤣🤣 Inno na Mwanae IT....😂 😂 anazijua innojembe na jamaa ake
Si mtafutane in personal mzichape tu watoto wa kiume kurushiana maneno mitandaoni sio kabisa🚮Una Bachelor Ya Mechanical Engineer Alafu huna ID hata Mmoja, Sasa Si bora uvichome Moto.... Unaitwa kazi za Bunge, Leo umetoka job Umepata sijui umeandika laki 2...
Sasa kazi moja ya laki 2, una uhakika kwa mwezi hukosi kazi 3 hadi 10... Sasa si bora utulie huko kuliko Kufata Mshahara wa TGSB... Unajua TGSB na makato makato ina rudi humo humo kwenye hela yako ya siku??
Maana wewe huna Per diem huna Safari, Safari uende wapi wakati mafridgi yapo humo humo.
Unajua mtu mpka anaitwa akafanye kazi Bunge hawezi lipwa elfu 39,000/=.
Mkuu ndio maana baada ya Bachelor ya mechanical nimejua kwann umerudi kusomea Ufundi Fridgi nishajua tatizo lipo wapi.
Labda Utumishi wa majumbaniMungu atusimamie asee, ujobless mwisho uwe 2023, mwaka utakapogeuka 2024 mwezi wa 1 tuwe watumishi