Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

TANGAZO LA KUITWA KAZINI.
KWA wasailiwa waliofanya usaili kati ya 19/10/2022----08/11/2023

So ; - ukiona uliwahi fanya interview kwenye range ya tarehe hizo na jina lako halipo it means upo database ila nafasi haijapatikana bado .

So usiseme mwezi wa 6 hawajatoa... Wametoa ila kwa range hizo.
 
yaani mtu kafanya oral mwez wa sita bado placement haijatoka ila mwezi wa 11 tayari kalamba asali πŸ˜‚ πŸ˜‚ we miso misondo unapigaje hapo
hao ni watu na ndevu zao na vitambi juu wanafanya vitu kama hivo. 🀣 🀣yaani
 
hawajatoa kwa maana kama wangetoa ina maana mmefeli wote mmewekwa kwenye database yaani asipate hata mmoja. au mimi ndio sielewi
 
mkeka una watu 14 watu wanasema 17 mwingine 18.inamaana majobless ndo tumefikia hatua hio🀣🀣
yaani hatuelewi kabisa πŸ˜‚ πŸ˜‚ jamaa wametushangaza sana. wanasema ukimya mwingi una mshindo mkuu ila wao sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…