LUZYOKELEZI THE 2
Member
- May 20, 2020
- 56
- 98
Kuna PDF huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na watu 18 😂 😂Pdf la zoa zoa la kumaliza mwaka limetoka😂😂
Mbona Kama 14😄😄😄na watu 18 😂 😂
Na wa 10 bado tulifeli wote oral😂😂naona watu wa mwezi wa 11 wamefikiwa lakini wa mwezi wa sita bado 😂 😂
hao ni watu na ndevu zao na vitambi juu wanafanya vitu kama hivo. 🤣 🤣naona watu wa mwezi wa 11 wamefikiwa lakini wa mwezi wa sita bado 😂 😂
hao ni watu na ndevu zao na vitambi juu wanafanya vitu kama hivo. 🤣 🤣yaani
hao ni watu na ndevu zao na vitambi juu wanafanya vitu kama hivo. 🤣 🤣yaani
🤣 🤣yaani mtu kafanya oral mwez wa sita bado placement haijatoka ila mwezi wa 11 tayari kalamba asali 😂 😂 we miso misondo unapigaje hapo
hawajatoa kwa maana kama wangetoa ina maana mmefeli wote mmewekwa kwenye database yaani asipate hata mmoja. au mimi ndio sielewiTANGAZO LA KUITWA KAZINI.
KWA wasailiwa waliofanya usaili kati ya 19/10/2022----08/11/2023
So ; - ukiona uliwahi fanya interview kwenye range ya tarehe hizo na jina lako halipo it means upo database ila nafasi haijapatikana bado .
So usiseme mwezi wa 6 hawajatoa... Wametoa ila kwa range hizo.
yaani hatuelewi kabisa 😂 😂 jamaa wametushangaza sana. wanasema ukimya mwingi una mshindo mkuu ila wao sasa.mkeka una watu 14 watu wanasema 17 mwingine 18.inamaana majobless ndo tumefikia hatua hio🤣🤣
watu 18 mkuu madereva ndio wametawalamkeka una watu 14 watu wanasema 17 mwingine 18.inamaana majobless ndo tumefikia hatua hio🤣🤣