Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ichi kitu ni kweli kabisa sehemu nayo fanya kaza wameletwa wadau kama 7 kutoka shirika ambalo lilivunjwa
 
Pole Mkuu ila Utapangiwa Sehemu Nyengine, ubaya tu yani utumishi hujui placement lini wanatoa...yani kama hapa wangeweka tangazo hata instagram labda mkeka unaofuata tarehe fulani inakuwa rahisi
Utumishi miyeyusho sana ,na unakuta unajiaminisha upo Data base kumbe ulishakula ndoige moja matata sana
 
Wakuu na wataalamu wa mambo nisaidieni,
Kuna muda wangu kapata mafasi taasisi X na tayari kaisha chukua barua ya kiripoti na tayari kaipeleka mahari husika na kawapa taarifa zake kama nakala za vyeti, pamoja na akaunti ya benki,
Ila toka afanye huo mchakato mpaka sasa imepita wiki 2 hakuna mrejesho kwani walivyoweka hizo taarifa waliambiwa watapigiwa simu kwa ajili ya michakato zaidi ila mpaka sasa ni wiki mbili zimepita,

Nisaidie mara nyingi inachukua muda kukamilisha huo mchakato,

Na kitu kiingine juz juz kunabaadhi ya taasisi walivunja wakaziunganisha kwenye taasisi hiyo X
 
Huyo mdau wako sio wewe kweli, any way aendelee kuwa mvumilivu. ataitwa tu
 
Asubiri ,kuna wengine hadi miezi zaidi ya mitatu
 
PSRS washatudharau..,tunapiga makelele na pdf hawatui, daah!
 
"Watumishi wote ambao mashirika na taasisi zao zinaguswa na zoezi hili, watapangiwa kazi zingine katika utumishi wa umma na maslahi yao yatazingatiwa"

Ulikua kibopa pale Taasisi ya Chakula na Lishe ukiwa na mshahara wa 2,030,000/= na posho za kutosha na safari kama zote unahamishiwa Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe kama Afisa Lishe. Mshahara wako utabaki lakini mambo mengine yote yanakua ya kihalmashauri. Maji utaita mma. Ndio maana mimi hua nasema kitu cha kuhakikisha kimekaa vizuri ni salary, hizo allowance na benefits anaweza kuja jiongozi mmoja akazipiga chini for 10 years tu tukanyooka​

Nakubaliana na hoja hapo juu, hii distribution inaweza athiri mahitaji ya baadhi ya waajiri kwa muda.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…