Wakuu na wataalamu wa mambo nisaidieni,
Kuna muda wangu kapata mafasi taasisi X na tayari kaisha chukua barua ya kiripoti na tayari kaipeleka mahari husika na kawapa taarifa zake kama nakala za vyeti, pamoja na akaunti ya benki,
Ila toka afanye huo mchakato mpaka sasa imepita wiki 2 hakuna mrejesho kwani walivyoweka hizo taarifa waliambiwa watapigiwa simu kwa ajili ya michakato zaidi ila mpaka sasa ni wiki mbili zimepita,
Nisaidie mara nyingi inachukua muda kukamilisha huo mchakato,
Na kitu kiingine juz juz kunabaadhi ya taasisi walivunja wakaziunganisha kwenye taasisi hiyo X