ANoblePerson
JF-Expert Member
- Sep 30, 2023
- 466
- 701
Usisahau kupiga picha hiyo masjala ya wazi utume picha humu tuione😊😊Asanteni sana, Nimeshindwa Kumjibu Mmoja Mmoja .. Nipo njiani kufika Dodoma... Nilikuwa nahofia Nikikosa kesho itabidi nifike tena J.4 au J. 5 cz ya sikuuu lakini nikishatulia nitawapa update Wakuu...
Neno langu, Usije Ukakata tamaa ,cz hujui kesho yako... Nikitulia jamani nitaongea kitu humu.
Muwe na jioni njema...##Utumishi connection hakuna.🙏,
Safri salama..wasalmie masijala ya wazi[emoji3]....oya kati ya watu waliokuwa washaanza ku give ni wewe[emoji3][emoji3][emoji3]Asanteni sana, Nimeshindwa Kumjibu Mmoja Mmoja .. Nipo njiani kufika Dodoma... Nilikuwa nahofia Nikikosa kesho itabidi nifike tena J.4 au J. 5 cz ya sikuuu lakini nikishatulia nitawapa update Wakuu...
Neno langu, Usije Ukakata tamaa ,cz hujui kesho yako... Nikitulia jamani nitaongea kitu humu.
Muwe na jioni njema...##Utumishi connection hakuna.[emoji120],
Safari njema, tunatarajia update na matumaini kwa sisi jobless tulio bakia
NB: VP status zimebadilika ?
Mkuu baada ya oral inatakiwa isome SELECTED FOR ORAL both web and appHapo kwenye status ndipo mnanichanganyaga Mimi
Maana Mimi sielewi hiyo ya app na web[emoji3166][emoji3166]
Safi sana, huku taka kukawia 😂, good news sana hiziAsanteni sana, Nimeshindwa Kumjibu Mmoja Mmoja .. Nipo njiani kufika Dodoma... Nilikuwa nahofia Nikikosa kesho itabidi nifike tena J.4 au J. 5 cz ya sikuuu lakini nikishatulia nitawapa update Wakuu...
Neno langu, Usije Ukakata tamaa ,cz hujui kesho yako... Nikitulia jamani nitaongea kitu humu.
Muwe na jioni njema...##Utumishi connection hakuna.🙏,
Yeah, huwa haibadilikiMkuu baada ya oral inatakiwa isome SELECTED FOR ORAL both web and app
Ukipata placement huwa hakuna mabadlko according to walioramba asali.
Hongera sana mdauNdugu yenu pia hii ni December to Remember Mungu amenitendea.
Nawasihi msikate tamaa pambaneni.
Mimi inasoma SELECTED FOR oral interview tu. Haisema both web and app🧐🧐Mkuu baada ya oral inatakiwa isome SELECTED FOR ORAL both web and app
Ukipata placement huwa hakuna mabadlko according to walioramba asali.
Nadhani utakuwa wa kufungia mwaka aiseeHuu mkeka psrs wametisha watu 321 wamelamba asali
Huenda ikawa hivyoNadhani utakuwa wa kufungia mwaka aisee
Mdau, inatakiwa upakue app ya psrs kisha uone ukiingia inakwambia nn, yaani kuna app halafu kuna websiteMimi inasoma SELECTED FOR oral interview tu. Haisema both web and app🧐🧐
Asante sana MkuuHongera Sana Mkuu
Nashukuru sana Mkuu.Hongera sana
Mkuu nashukuru sana.Hongera sana, ukachape kazi kwa bidii zote
Mkuu hongera sana kila la kheri katika utumishi wako, ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi hakika Mungu ni mwema mkuuNdugu yenu pia hii ni December to Remember Mungu amenitendea.
Nawasihi msikate tamaa pambaneni.
Mdau, inatakiwa upakue app ya psrs kisha uone ukiingia inakwambia nn, yaani kuna app halafu kunwwebsnasn
Aisee Mimi kwangu kote inasema tu SELECTED FOR oral interviewMdau, inatakiwa upakue app ya psrs kisha uone ukiingia inakwambia nn, yaani kuna app halafu kuna website
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaNdugu yenu pia hii ni December to Remember Mungu amenitendea.
Nawasihi msikate tamaa pambaneni.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Usisahau kupiga picha hiyo masjala ya wazi utume picha humu tuione[emoji4][emoji4]
IT hana baya atakuwa kashakata tiketi kabisa ya kwenda kula Sikukuu mkoani punde alipomaliza kubonyeza kitufe cha "upload"Huu mkeka psrs wametisha watu 321 wamelamba asali