Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Asanteni sana, Nimeshindwa Kumjibu Mmoja Mmoja .. Nipo njiani kufika Dodoma... Nilikuwa nahofia Nikikosa kesho itabidi nifike tena J.4 au J. 5 cz ya sikuuu lakini nikishatulia nitawapa update Wakuu...

Neno langu, Usije Ukakata tamaa ,cz hujui kesho yako... Nikitulia jamani nitaongea kitu humu.

Muwe na jioni njema...##Utumishi connection hakuna.🙏,
Usisahau kupiga picha hiyo masjala ya wazi utume picha humu tuione😊😊
 
Asanteni sana, Nimeshindwa Kumjibu Mmoja Mmoja .. Nipo njiani kufika Dodoma... Nilikuwa nahofia Nikikosa kesho itabidi nifike tena J.4 au J. 5 cz ya sikuuu lakini nikishatulia nitawapa update Wakuu...

Neno langu, Usije Ukakata tamaa ,cz hujui kesho yako... Nikitulia jamani nitaongea kitu humu.

Muwe na jioni njema...##Utumishi connection hakuna.[emoji120],
Safri salama..wasalmie masijala ya wazi[emoji3]....oya kati ya watu waliokuwa washaanza ku give ni wewe[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hapo kwenye status ndipo mnanichanganyaga Mimi
Maana Mimi sielewi hiyo ya app na web[emoji3166][emoji3166]
Mkuu baada ya oral inatakiwa isome SELECTED FOR ORAL both web and app

Ukipata placement huwa hakuna mabadlko according to walioramba asali.
 
Asanteni sana, Nimeshindwa Kumjibu Mmoja Mmoja .. Nipo njiani kufika Dodoma... Nilikuwa nahofia Nikikosa kesho itabidi nifike tena J.4 au J. 5 cz ya sikuuu lakini nikishatulia nitawapa update Wakuu...

Neno langu, Usije Ukakata tamaa ,cz hujui kesho yako... Nikitulia jamani nitaongea kitu humu.

Muwe na jioni njema...##Utumishi connection hakuna.🙏,
Safi sana, huku taka kukawia 😂, good news sana hizi
 
Usisahau kupiga picha hiyo masjala ya wazi utume picha humu tuione[emoji4][emoji4]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Na furaha aliyonayo sijui kama atakumbuka.

Maana ile kucheki jina unakuta ni lako kiusahihi, kuna kakiwewe fulani hivi kinakujia huku ukigubikwa na kujiamini sana
 
Back
Top Bottom