ANoblePerson
JF-Expert Member
- Sep 30, 2023
- 466
- 701
Usisahau kupiga picha hiyo masjala ya wazi utume picha humu tuione😊😊Asanteni sana, Nimeshindwa Kumjibu Mmoja Mmoja .. Nipo njiani kufika Dodoma... Nilikuwa nahofia Nikikosa kesho itabidi nifike tena J.4 au J. 5 cz ya sikuuu lakini nikishatulia nitawapa update Wakuu...
Neno langu, Usije Ukakata tamaa ,cz hujui kesho yako... Nikitulia jamani nitaongea kitu humu.
Muwe na jioni njema...##Utumishi connection hakuna.🙏,