Fortyseven
JF-Expert Member
- Oct 30, 2020
- 1,129
- 2,142
mmmhh lkn sasa mbona ww huach kaz au unatudanganya majobless??Kama una jambo lako unalifanya mtaani kwa uhakika kabisa na unapata kipato ambacho ni kizuri tu,basi komaa na jambo lako hilo hilo.
dahh ila umeongea pointKama una jambo lako unalifanya mtaani kwa uhakika kabisa na unapata kipato ambacho ni kizuri tu,basi komaa na jambo lako hilo hilo.
hivi iyo sio ualimu kweli.?Hivi hii kozi yangu ya BACHELOR OF SCIENCE IN PHYSICS haina hata matangazo ya ajira za kutengeneza mitego ya panya. Mbona nimepigwa na kitu kizito vibaya sana wajemeni.
kwan ni halmashauri zote au inategemea na halmashauri??Kama una uhakika na mishe zako za huko mtaani,huku hapakufai. Ni kupotezeana tu muda. Katika maishi nimejifunza kusimamia na kukamilisha kile ulichokianza. Haya mambo ya kuhama leo huku unafanya jambo hili kesho kule unafanya jambo lile yanaturudisha sana nyuma.
Sio ualimu afsahivi iyo sio ualimu kweli.?
Siyo ualimu ni sawa na wale wanaosomaga Bachelor of Art in Kiswahili.hivi iyo sio ualimu kweli.?
ok sawa.ila watatangaza tu siku moja uskate tamaa..Sio ualimu afsa
duh kumbe ndio hivyo.Siyo ualimu ni sawa na wale wanaosomaga Bachelor of Art in Kiswahili.
Programs zinazotolewa UDOM. huoni hata tangazo moja siyo TAMISEMI Wala UTUMISHI.
Ndiyo Mkuuduh kumbe ndio hivyo.
π€£ π€£ inatakiwa kuwe na semina aisee kwa madogo wanaoingia chuo wawe makini kwenye kuchagua kozi.Ndiyo Mkuu
Unamaliza chuo professional yako haipo kwenye Miundo ya kiutumishi
πππ Hawatakagi ushauri utasikia mm ntaajiriwa ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali mwingine utasikia Mimi Ntaajiriwa BAKITAπ€£ π€£ inatakiwa kuwe na semina aisee kwa madogo wanaoingia chuo wawe makini kwenye kuchagua kozi.
Hivi hii kozi yangu ya BACHELOR OF SCIENCE IN PHYSICS haina hata matangazo ya ajira za kutengeneza mitego ya panya. Mbona nimepigwa na kitu kizito vibaya sana wajemeni.
Usemacho ni kweli kabisa mkuu, na hasa kama unafanya kazi za Desk, kitendo cha kuingia job asubui na kutoka jioni alafu mwisho wa mwezi usubiri laki 8 ni kasheshe kama mtaani ulikuwa unaingiza zaidi ya hiyo au inayoendana na SalaryKama una uhakika na mishe zako za huko mtaani,huku hapakufai. Ni kupotezeana tu muda. Katika maishi nimejifunza kusimamia na kukamilisha kile ulichokianza. Haya mambo ya kuhama leo huku unafanya jambo hili kesho kule unafanya jambo lile yanaturudisha sana nyuma.
Wapi huko wanalipa Hadi hizo laki 8Usemacho ni kweli kabisa mkuu, na hasa kama unafanya kazi za Desk, kitendo cha kuingia job asubui na kutoka jioni alafu mwisho wa mwezi usubiri laki 8 ni kasheshe kama mtaani ulikuwa unaingiza zaidi ya hiyo au inayoendana na Salary
ila kwa ambao wanafanya kazi za field ni unyama sana Mkuu, km utafika ofisini asubui ukasaini unasepa zako ndo imetoka hiyo, hadi kesho tena au siku ingine utakayoamua kwenda ofisini
So unaweza kukaa ata siku 3 hujakanyaga ofisini, ila kama una viongozi wakuda we ni kuingia na kusaini kisha safari, hapo ata km unalipwa laki 5 we fresh tu kwa sababu unautumia muda wako vizuri sana kiasi kwamba unaweza ukawa unafanya kazi Singida ila unafata biashara mwanza kila week
Na una fursa ya kukopa na kuongeza kwenye mtaji wako ili kuongeza mzunguko, kwahiyo kazi za Halmashauri inategemea na nature ya kazi yako, kuna raia waga hazionekani job ata mwezi mzima kwa sababu yeye ni mtu wa field
Career guidance ni muhimu sanaπ€£ π€£ inatakiwa kuwe na semina aisee kwa madogo wanaoingia chuo wawe makini kwenye kuchagua kozi.
Infact ni kwamba ukiwa na degree ya kiswahili unaweza Kuajiriwa Bakitaπππ Hawatakagi ushauri utasikia mm ntaajiriwa ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali mwingine utasikia Mimi Ntaajiriwa BAKITA
Wanalipa kwenye Halmashauri zote mkuu inategemea tu wewe ni mtu wa Kada ganiWapi huko wanalipa Hadi hizo laki 8
Mbona kwa entry level bachelo's wengi halmashauri ni TGS D 765,000 na TGS E 1,000,000 na hizi ni basic bado makato.
Kumbe MD Yuko juu kwa vetWanalipa kwenye Halmashauri zote mkuu inategemea tu wewe ni mtu wa Kada gani
Ni kweli entry level bachelor's wengi halmashauri wanaanzia TGS D na TGS E, ila wengine tumeanza na TGS E kwenye 1.3M
Naongelea Veterinary medicine